Lowassa anahudhuria mkutano mkuu wa CHADEMA kama nani?

Politically, Lowassa is finished!

Kwa sasa anapitia njia ya kisiasa aliyopita Augustino Mrema!

Hizi zingine ni porojo na usanii kama ilivyo fani yake!

Hatuwezi kushangaa kama tutaona vijana wamelipwa ili wadeki barabara na kushangilia kwa nguvu zao zote wakati hata hotuba zake hazizidi dakika tano!
Funga bakuli zumbukuku wewe
 
Kwani si umeandkka mwenyew kuwa mwenyekiti anaweza kuchagua wajumbe wasiozid sita?

Kwani umeambiwa Mbowe kamaliza idadi ya wajumbe wote sita kuchagua?

Ali chagua watatu tuu mkuu.
Kwa hiyo Lowasa ni wa nne
Bado wajumbe wawil.

Akitaka anaweza kumuongeza
hata J. P. M kuwa mjumbe.
Bawacha unatakiwa kujua kuwa hao wajumbe anatakiwa kuchagua akishauriana na katibu mkuu....! Hebu twambie katibu mkuu wa Chadema ni nani? Na ameshauriana nae lini ikiwa tuu Dr Slaa aliacha chadema baada ya ujio wa Lowasa?
 
ndugu zetu angalieni tuu msichaguliwe jaribuni mchague isije mwisho wa siku ikawa kama ya dr.slaa kusema amehongwa mara ametumiwa na ccm wakati ni makosa yenu wenyewe
 
bila yeye lowassa kulikua akuna mabadiliko ndomana tuliowengi tunakubali mabadiliko niyeye si pm wenu
 
Chadema wamebakiza matusi tu hawawezi kujibu hoja yaani wamekua wepesi sana.
 
Wewe unauliza kama nani?
Just a simple logic,hivi kwani na JPM nae uwa anahudhuria vikao vya juu vya nyinyiem kama nani! ?

very simple logic mkuu katiba ya ccm ya mwaka 1977 iliyofanyiwa marekebisho 2010 kifungu 108.1 rais anakuwa mjumbe kamati kuu direct tu

lakini WANACHADEMA kujitetea kujilinganisha na ccm sio sawa kabisa...

kila siku tunaimba ccm wamechoka, hawafai, wanaminya katiba halafu tukihojiwa tunaangalia makosa yao tunajificha nyuma yake.... this is stupidity...

upinzani u natakiwa kujitofautisha na ccm ili wananchi wawaamini..

kama katiba ya chama haifatwi je ya nchi itafatwa?

#TAIFA KWANZA
#TANZANIAKWANZA
 
Politically, Lowassa is finished!

Kwa sasa anapitia njia ya kisiasa aliyopita Augustino Mrema!

Hizi zingine ni porojo na usanii kama ilivyo fani yake!

Hatuwezi kushangaa kama tutaona vijana wamelipwa ili wadeki barabara na kushangilia kwa nguvu zao zote wakati hata hotuba zake hazizidi dakika tano!
nani amdekie? kaingia kinyemela hakuna cha kudeki wala kumtandikia mbeleko,
 
Kama Chadema Ni hovyo Mnavyodai, CCM mnahofu nini? Kama Ni wapuuzi, Kama wanakiuka Katiba, Si Mungefurahi basi? By the Way Mbona Lowassa Mnamulavuuu, Let him be. Ye Yuko Kimya Nyie mnakurupuka Vitandani Usiku wa Mamane kwa Nightmare za, "Lowassa" Kuna nguvu gani anayo Lowassa Mimi Siijui Mnamlavuuu! Hivi Hamjui Mgombea Urais wa Chama Tena aliyeshinda Akaibiwa Ushindi na Wapora Komputer Kila Kona, Kwani hamjui Ni Kiongozi Mwandamizi?
 
very simple logic mkuu katiba ya ccm ya mwaka 1977 iliyofanyiwa marekebisho 2010 kifungu 108.1 rais anakuwa mjumbe kamati kuu direct tu

lakini WANACHADEMA kujitetea kujilinganisha na ccm sio sawa kabisa...

kila siku tunaimba ccm wamechoka, hawafai, wanaminya katiba halafu tukihojiwa tunaangalia makosa yao tunajificha nyuma yake.... this is stupidity...

upinzani u natakiwa kujitofautisha na ccm ili wananchi wawaamini..

kama katiba ya chama haifatwi je ya nchi itafatwa?

#TAIFA KWANZA
#TANZANIAKWANZA

Lowassa Akae Nyuma kwenye Benchi, Ahudhurie Kikao, asihudhurie wewe Kama CCM Inakuhusu Nini? Mbona Mnamlavuuu sana Lowassa? Let him be, alishawaachia Ushindi Mliomwibia, hamwamini hata hilo kuwa amewaachia. Au mngejisikia secure Kama Mgekuwa Mmemshinda Kiukwelii. Asili ya Mwanadamu, akikuibia Muhogo ukimkamata nao, hata Ukimwambia Uchukue Nenda Akila anakuwa na wasisi saa zote akidhani Utamdhuru. Bibilia inasema Wenye Hofu Hukimbia Bila Kufukuzwa. CCM mna Majeshi, Polisi, Wafalme wa Wilaya, Wabunge ,Mawaziri na Dada zao wenye Wazungu wakuwaitisha Dola. Masikini wa Shetani, Mbona Mnahofu?
 
Nayakumbuka maneni ya Dkt Slaa pale alipisena Slaa hana bei

Hivi Vile Vipindi Live vya Masaa Kwa Masaa Vilikuwa Bei Gani na Alilipa nani? Serena Hoteli alilipa Nani? Mtu anayekula Mihogo aliwezaje Kulipa Milioni 80 Kwa Lisaa Limoja. Na Nyumba ilipopigwa Mnada wale Vigogo watatu walilipa Bei gani? Dr. Slaa alikuwa Ni Msaliti Na Laana!
 
Yeye ndiye mmiliki mpya wa chadema sasa kwanini asihudhurie.

Ni kama kikao cha bodi ya kampuni yako kinafanyika kwanini usihudhurie.

Ukitaka uhakika wa kuimiliki chadema subiri uone jina la katibu mkuu ndiyo utaamini ana nguvu kiasi gani huko Chadema.

Chadema ilishajifia siku nyingi.
 
Back
Top Bottom