Lowassa anafanya nini bungeni?

bulylo

Member
Apr 30, 2012
11
0
Lowassa Ngoyai Edward CCM
Questions(0)
Supplementary
Questions (0)
Contributions
(1)
 
Anahesabu muda huku akipigia debe la kuchaguliwa kuwa Rais 2015 kwa kuongeza wapambe ambao kwa njia moja ama nyingine watamfagilia na kumuombea kura.
 
Lowassa yupo yupo Bungeni maana ni Mbunge,maana hakuna iliposemwa lazima aulize swali wala kuchangia hoja yoyote.Kilicho issue Lowassa ni Waziri Mkuu Mstaafu na atavuta 80% ya mshahara wa Waziri Mkuu aliyeko madarakani hadi mauti itakapomchukua ama sheria zikibadilika.Hili ni tatizo maana tafsiri ya mstaafu kwa mujibu wa utumishi wa umma na namna Lowassa aliondoka kwenye ofisi ya WM nadhani ni tofauti, na hata mnaposema yeye ni tajiri hatukumsikia akipinga posho za kikao!
 
Kupinga posho za vikao au kuzikubali haimaanishi kuwa ni umasikini au utajiri....wote wanazifahamu alama za nyakati ila kwa Lowassa ni kweli anatafakari kitakachotokea si bungeni tu, bali kule jimboni kwake...kule kuna MWANAHARAKATI, MCHUNGAJI AMANI OLE SILANG'A...huyu bwana anamnyima ex-PM usingizi.
 
All of the above.

Moreover, he is calculating his next move

Pale ndipo anapopanga mipango yake ya uasi na hujuma dhidi ya serikali na kupanga safari za kwenda kuipaka matope serikali na wakati huo huo kupiga madili. Mfano mzuri ni hii safari yake ya Morocco ambako inasemekana alikwenda kucheza dili na sasa ameugulia huko huko.
 
Lowassa yupo yupo Bungeni maana ni Mbunge,maana hakuna iliposemwa lazima aulize swali wala kuchangia hoja yoyote.Kilicho issue Lowassa ni Waziri Mkuu Mstaafu na atavuta 80% ya mshahara wa Waziri Mkuu aliyeko madarakani hadi mauti itakapomchukua ama sheria zikibadilika.Hili ni tatizo maana tafsiri ya mstaafu kwa mujibu wa utumishi wa umma na namna Lowassa aliondoka kwenye ofisi ya WM nadhani ni tofauti, na hata mnaposema yeye ni tajiri hatukumsikia akipinga posho za kikao!

Hata Rostam alikua na hizi elements.
 
Yupo busy na kupanga mikakati ya kuibia nchi ndio maana hana muda wa kuuliza maswali
OTIS
 
Acheni kumuandama Lowassa.
Jamani huu ujinga wenu utaisha lini? Lowassa alijiuzulu kwa hiari na kitu kipya na bora kwa kiongozi Tanzania.
Mpaka imedhibitika kuwa yeye alitaka kuwafukuza Richmond, akamtaarifu Rais JK akiwa nje kwa simu JK akamwambia wape tena muda, muda sio mrefu kamaikaanza kazina matokea yake ni yeye kutuhumiwa bila hata kuhojiwa
 
Amuulize nani swali humo bungeni? Hakuna size yake humo. Akiwa na issue anaongea na Rais direct au anatoa directive kwa waziri husika. Wanaobwabwaja bungeni hawana access ya kuongea na rais au waziri moja kwa moja
 
hakuna mpuuzi jinga kubwa kama MBOPO humu ndani,Lowasa mzima kabisa humu ndani alafu unazisha upuuzi wako eti Mgonjwa Acha ujinga Mods ni kipindi cha kuwapiga ban apuuzi ka hawa,nonsence,Long Live Edo.
 
Kama kuna mtu anae ielewa Monduli,kuna masikini wakutupwa.hua namshangaa sana ninapo mwona Lowasa yupo kimya Bungeni akiti kuna jirani zake pale ngarashi hawana uakika wa mlo mmoja,watu wana changishwa elfu kumi kwa ajili ya yaku ongeza madarasa,ila yeye kula kukicha makanisani nakutoa mamilio ya fedha,nafikiri hastaili kua mbunge,abaki kua mfazili wa jimbo na wana Monduli wapate Mbunge wakuweza kuwasemea chechote bungeni.muda wa Lowasa kupumzika umefika.
 
Lowassa yupo yupo Bungeni maana ni Mbunge,maana hakuna iliposemwa lazima aulize swali wala kuchangia hoja yoyote.Kilicho issue Lowassa ni Waziri Mkuu Mstaafu na atavuta 80% ya mshahara wa Waziri Mkuu aliyeko madarakani hadi mauti itakapomchukua ama sheria zikibadilika.Hili ni tatizo maana tafsiri ya mstaafu kwa mujibu wa utumishi wa umma na namna Lowassa aliondoka kwenye ofisi ya WM nadhani ni tofauti, na hata mnaposema yeye ni tajiri hatukumsikia akipinga posho za kikao!
napata shida kidogo,,,mtu aliwahi kuwa pm,,nadhan niheshima kutulia,anajua system yote,,akiwa na shida ya jimbon waziri mhusika wataongea kwa staha yake atatendewa,,,ataongea mambo ya kitaifa yanayoonekana kusumbua,akionyesha njia,,,hapo heshima anailinda hachuji,
 
Back
Top Bottom