Dhumuni lako ni nini hasa.???
Kuwataka watanzania kutompigia kura magufuli kwani in miongoni mwa viongozi wabovu
CCM hata wangemsimamisha nani mwaka huu, hawawezi kushinda! Tayari wananchi wameshawachoka!
CCM hata wangemsimamisha nani mwaka huu, hawawezi kushinda! Tayari wananchi wameshawachoka!
Leo anataka kura toka kwa wananchi aliowaambia kama hawana nauri ya kivuko cha kigamboni wapige mbizi.Magufuli ni miongoni mwa mawaziri wanaopenda kusifiwa katika utendaji wao Wa Kazi.Bwana huyo amekuwa Na maamuzi ya peke yake na anachotaka yeye ndicho hicho.kwa mfano suala la kukamata meli ya Samaki , baadhi ya watendaji walimshauri lakini kama kawaida yake alikataa Na matokeo yake serikali inadaiwa fidia Na wahusika.Kuna suala la kubomoa petrol station Mwanza, kuna suala la ugawanaji Na uuzaji Wa Nyumba za serikali hakika huu in ufisadi mkuu.Mambo yote hayo ni kero kubwa kwa wanachi.Kama haitoshi kuna suala la ununuzi Wa boti kuukuu kwa kiasi kikubwa cha fedha za umma kiasi cha bilioni 8 boti ambayo haifanyi safari .Zote hizo in kodi za watanzania lakini zinateketea kirahisi.
Mkuu,Leo anataka kura toka kwa wananchi aliowaambia kama hawana nauri ya kivuko cha kigamboni wapige mbizi.
Umesema kweli mkuu in jambo la kushangaza unapoona kuna watu hawataki mabadiliko hata ya maisha yao sasa in miaka 54 maisha ni yale Yale kwao wenye maisha mazuri in wale wale kina SITTA, KINANA, RIDHIWANI, Na watoto wao wengine hali mbaya Na baba zao watanzania tuamke tufanye mabadiliko ili nasi tubadili maisha yetu