Lowassa ana bahati sana, sababu Magufuli hafai

Nasikia mnajaziwa mafuta daily ili mwendelee kumumpamba jamaa yenu ..hongereni kwa kupata ulaji wa bure ila mjue hakuna vya bure, Ikulu haendi na mtatakiwa kulipa
 
Magufuli ni miongoni mwa mawaziri wanaopenda kusifiwa katika utendaji wao Wa Kazi.

Bwana huyo amekuwa Na maamuzi ya peke yake na anachotaka yeye ndicho hicho.kwa mfano suala la kukamata meli ya Samaki , baadhi ya watendaji walimshauri lakini kama kawaida yake alikataa Na matokeo yake serikali inadaiwa fidia Na wahusika.

Kuna suala la kubomoa petrol station Mwanza, kuna suala la ugawanaji Na uuzaji Wa Nyumba za serikali hakika huu in ufisadi mkuu.

Mambo yote hayo ni kero kubwa kwa wanachi.Kama haitoshi kuna suala la ununuzi Wa boti kuukuu kwa kiasi kikubwa cha fedha za umma kiasi cha bilioni 8 boti ambayo haifanyi safari .Zote hizo in kodi za watanzania lakini zinateketea kirahisi.
 
Magufuli ni miongoni mwa mawaziri wanaopenda kusifiwa katika utendaji wao Wa Kazi.Bwana huyo amekuwa Na maamuzi ya peke yake na anachotaka yeye ndicho hicho.kwa mfano suala la kukamata meli ya Samaki , baadhi ya watendaji walimshauri lakini kama kawaida yake alikataa Na matokeo yake serikali inadaiwa fidia Na wahusika.Kuna suala la kubomoa petrol station Mwanza, kuna suala la ugawanaji Na uuzaji Wa Nyumba za serikali hakika huu in ufisadi mkuu.Mambo yote hayo ni kero kubwa kwa wanachi.Kama haitoshi kuna suala la ununuzi Wa boti kuukuu kwa kiasi kikubwa cha fedha za umma kiasi cha bilioni 8 boti ambayo haifanyi safari .Zote hizo in kodi za watanzania lakini zinateketea kirahisi.
Leo anataka kura toka kwa wananchi aliowaambia kama hawana nauri ya kivuko cha kigamboni wapige mbizi.
 
Bora kumpigia kura anaekupa ukweli live hata km huupendi, kuliko mwenye nia mbili kigeugeu lowassa
 
Leo anataka kura toka kwa wananchi aliowaambia kama hawana nauri ya kivuko cha kigamboni wapige mbizi.
Mkuu,
Wewe ulitaka awambie nini? Wewe ni mmoja wa wale wamezoea siasa za kilaghai!

Ulitaka awaambie atawapa usafiri wa bure?

Fikra zako zinaonyesha Ukweli siku hizi umekuwa ni sumu ya kisiasa nchini.

Tanzania ya sasa inahitaji wanasiasa wanaosema ukweli hata kama unauma kifikra.
 
Tatizo sio mgombea au mpinzani wake, wala sio umaarufu wa fulani au sifa zake za kiungozi alizona fulani, isipokuwa ni kwamba sasa ni saa ya mabadiliko. Hata Lowassa angepitishwa na CCM haya unayoyaona kwake sasahivi yasingetokea, bali ungeyaona kwa mgombea wa UKAWA. Kwa hiyo Lowassa atashinda sio kwa sababu yeye ni Lowassa, bali atashinda kwa kuwa wananchi tunataka mabadiliko (Reformation)
 
Umesema kweli mkuu in jambo la kushangaza unapoona kuna watu hawataki mabadiliko hata ya maisha yao sasa in miaka 54 maisha ni yale Yale kwao wenye maisha mazuri in wale wale kina SITTA, KINANA, RIDHIWANI, Na watoto wao wengine hali mbaya Na baba zao watanzania tuamke tufanye mabadiliko ili nasi tubadili maisha yetu
 
Umesema kweli mkuu in jambo la kushangaza unapoona kuna watu hawataki mabadiliko hata ya maisha yao sasa in miaka 54 maisha ni yale Yale kwao wenye maisha mazuri in wale wale kina SITTA, KINANA, RIDHIWANI, Na watoto wao wengine hali mbaya Na baba zao watanzania tuamke tufanye mabadiliko ili nasi tubadili maisha yetu

Nakubaliana nawe asilimia mia moja! Muda wa mabadiliko ukifika hakuna binadamu aliye chini ya jua atazuia. Si Magufuli wa malaika atazuia! Ni kama Oxygen ukiikosa uhai unatoweka.
 
kaka soma magazeti ya leo headings uone walivyoamua kumsambaza mpinzani, naona akina faizafoxy hata hawajiamini, sijui mshauri wao ni nani
 
Back
Top Bottom