Lowassa amjulia hali Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi James Mbatia aliyerejea toka matibabu ng'ambo

Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa amemtembelea Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi na Mbunge wa Vunjo Mh. James Mbatia ambae amerejea hivi karibuni akitokea nchini India alipokwenda kufanyiwa upasuaji wa mguu.

View attachment 444292

Mwanahabari Huru
Vita ya Mrema, Mbatia sasa moto - Kitaifa | Gazeti la Kiswahili ...
www.mwananchi.co.tz/habari/...ya-Mrema--Mbatia.../index.html
Translate this page
Feb 7, 2015 - ... James Mbatia na Augustine Mrema imezidi kupamba moto baada ya ... si mgonjwa kama inavyodaiwa na atagombea tena ubunge kwenye .
 
Endelea kujitoa ufahamu. Kila kitu kiko wazi kabisa lakini umeamua kuwa mbishi.
Jenga hoja hapa sibishani. Wewe ulishangaa mtu aliyesema kuwa yupo London kuripoti mambo ya Dar. Mimi nikakwambia kwamba wewe unaishi kizamani kwani kwa teknolojia ilivyo sasa si ajabu mtu kuwa London kuripoti mambo ya Dar!
 
Sio hivyo; ndio maana mnazungusha mikono na kupiga deki barabara.
Inaonesha mambo mengi ya dunia hii huyaelewi. Kuzungusha mikono (kwa kufuata mfumo maalum) ni ishara ya kuoensha kunatakiwa kufanyika mabadiliko. Wewe hata Ligi ya mpira wa miguu ikicheza Mbao na JKT Ruvu huwa huangalii? Ukiona bara bara inadekiwa ni Ishara kwamba wanaodeki wanaamini kuna uchafu unaopaswa kuondolewa ili walio safi wapite!!
 
Ha ha ha.
 
Pole sana Mh Mbatia, Get Well Soon!!
Ndiyo mwanasiasa naye mkubali sana kwa sasa.
 
Mungu AKUJALIE NAFUU YA HARAKA TUNAKUSUBIRI KTK MSTARI WA MAPAMBANO DHIDI YA UBABE WA SIRIKALI YA ONE SHOW MAN,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom