Lowassa amjulia hali Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi James Mbatia aliyerejea toka matibabu ng'ambo

VIDEO: Mbunge wa Jimbo la Vunjo na Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi,James Mbatia amesema Tanzania inahitaji kuwekeza zaidi katika elimu ili kuinusuru sekta ya afya kwani amedai kuwa Watanzania wengi ni wagonjwa lakini hawajijui.

 
Pole sana Mbatia. Ila ukirudi bungeni usizibe mdomo kwa kitambaa tena, unaharibugi sura yako.
 
Watanzania wengi wanajitahidi kujibana na kusomesha watoto wao kwenye shule binafsi lakini wananyimwa mikopo eti ni matajiri
 
Heri kifo kuliko maisha ya taabu na kheri pumziko la milele kuliko ugonjwa wa kudumu Mbatia (2016)
 
Mtanzania ndiye binadamu mnafiki kuliko binadamu wote duniani .......unajua kwann mwaka jana siku kama ya leo sherehe za uhuru zilifutwa si tukaambiwa tusherekee kwa kufanya usafi nchi nzima na mapesa ambayo yangetumika kwenye sherehe hizo yajenge barabara watanzania wakashangilia kweli.....leo tena sherehe Zipo hazijafutwa ili kubana matumizi mtanzania huyu amefurahi na kushangilia .......nilidhani leo zinafutwa then pesa ipelekwe kwa waathirika wa tetemeko kule KAGERA...mwaka jana walishangilia mwaka wameshangilia hawaeleweki wapo upande gani..........MTANZANIA NDIYE BINADAMU MNAFIKI KULIKO BINADAMU WOTE DUNIA siku tukiacha unafiki Tanzania itakombolewa Goliath Mwacharandula Mfalamagoha


Kagera, kagera,

Vipi, ni mmoja ya waliotaraji kupata chochote?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom