Elections 2010 Lowassa alitolewa kafara

dkn

Senior Member
Oct 7, 2010
139
42
Wana JF.

Jana niliandika thread inayohusiana na habari ya Lowassa lakini naona moderator aliipiga chini.

Kwa mnaokumbuka vizuri, Lowassa alikuwa kiongozi shupavu katika kazi yake ya Uwaziri mkuu na pia alikuwa na mapunguzu lakini siyo limbukeni kama JK anajua anachofanya ni mtu asiyecheka cheka na watendaji wake.

Lowassa katika kuchagua wakuu wa mikoa, wilaya aliweka watu wake na strategy yake na baadhi ya viongozi wa juu wa CCM ilikuwa ni kumtoa JK baada ya miaka mitano ya kwanza kwani CCM ilikuwa imeshaanza kuyumba mapema na kuwepo na kambi mbalimbali.

Watu wa karibu na JK wakamtonya kuwa angalia Lowassa mshikaji wako anataka kukufanyizia na hapo ndipo issue ya Richmond ikaanza na ukiangalia kwa undani Lowassa hakuhusika sana katika mambo yaliyokuwa technical bali kutekeleza ya JK nchi ipate umeme, mengineyo kama gharama yalishapitia kwa mkaguzi mkuu wa mahesabu na wengine wengi kabla ya Lowassa..mnaweza kuhoji mbona alikubaliana lakini mwishoni mwa siku ilibidi kuwajibika na hii ilikuwa either yeye akatae kujiuzulu na kujiosha, JK na CCM wakaona wamdanganye kuwa ajiuzulu na immediately watamshafisha na hiki hakikufanyika labda tu spika alijaribu kumsafisha.

Sasa mkae mkijua CCM imeoza na viongozi na wakongwe, wastaafu kama kina Mkapa wanampiga chenga kwani wanajua kichwani ni SIFURI na habebeki na chama chao kiko kwenye wakati mgumu. Pia Kikwete mwenyewe anajua uozo uliopo na ndiyo maana aliwekwa chini na CC kuwa chama kimekuwa na taswira mbaya sana na itabidi abebe jukumu kwa sasa…Kikwete personally ni mtu mzuri na kama angekuwa anagombea yeye kama yeye basi idadi kubwa ya waTZ ingempa kura, sasa hawezi kusema anawatimua baadhi ya viongozi kwani wao ndiyo wamemweka madarakani…support za kifedha kutoka kwa mafisadi kama Mramba zinaenda kwenye kampeni za CCM.

Vijana tuchague kiongozi makini kama Dr. Slaa, Prof. Lipumba tunahitaji mabadiliko sasa.
 
Sasa mbona Lowassa huwa anasema "Mimi na JK hatukukutana barabarani"?

Tafakari Mkuu.
 
Wana JF na Vijana, tuchague kiongozi makini ambaye ni Dr. Slaa Tunahitaji mabadiliko sasa.

Hapa ni sawa. Naunga mkono hoja

Lowassa katika kuchagua wakuu wa mikoa, wilaya aliweka watu wake na strategy yake na baadhi ya viongozi wa juu wa CCM ilikuwa ni kumtoa JK baada ya miaka mitano ya kwanza kwani CCM ilikuwa imeshaanza kuyumba mapema na kuwepo na kambi mbalimbali. Watu wa karibu na JK wakamtonya kuwa angalia Lowassa mshikaji wako anataka kukufanyizia na hapo ndipo issue ya Richmond ikaanza.....

Hii imekaa kitetesi tetesi zaidi na haihusu kwa sasa.
 
Wana JF.

Jana niliandika thread inayohusiana na habari ya Lowassa lakini naona moderator aliipiga chini.

Kwa mnaokumbuka vizuri, Lowassa alikuwa kiongozi shupavu katika kazi yake ya Uwaziri mkuu na pia alikuwa na mapunguzu lakini siyo limbukeni kama JK anajua anachofanya ni mtu asiyecheka cheka na watendaji wake.

Lowassa katika kuchagua wakuu wa mikoa, wilaya aliweka watu wake na strategy yake na baadhi ya viongozi wa juu wa CCM ilikuwa ni kumtoa JK baada ya miaka mitano ya kwanza kwani CCM ilikuwa imeshaanza kuyumba mapema na kuwepo na kambi mbalimbali.

Watu wa karibu na JK wakamtonya kuwa angalia Lowassa mshikaji wako anataka kukufanyizia na hapo ndipo issue ya Richmond ikaanza na ukiangalia kwa undani Lowassa hakuhusika sana katika mambo yaliyokuwa technical bali kutekeleza ya JK nchi ipate umeme, mengineyo kama gharama yalishapitia kwa mkaguzi mkuu wa mahesabu na wengine wengi kabla ya Lowassa..mnaweza kuhoji mbona alikubaliana lakini mwishoni mwa siku ilibidi kuwajibika na hii ilikuwa either yeye akatae kujiuzulu na kujiosha, JK na CCM wakaona wamdanganye kuwa ajiuzulu na immediately watamshafisha na hiki hakikufanyika labda tu spika alijaribu kumsafisha.

Sasa mkae mkijua CCM imeoza na viongozi na wakongwe, wastaafu kama kina Mkapa wanampiga chenga kwani wanajua kichwani ni SIFURI na habebeki na chama chao kiko kwenye wakati mgumu. Pia Kikwete mwenyewe anajua uozo uliopo na ndiyo maana aliwekwa chini na CC kuwa chama kimekuwa na taswira mbaya sana na itabidi abebe jukumu kwa sasa…Kikwete personally ni mtu mzuri na kama angekuwa anagombea yeye kama yeye basi idadi kubwa ya waTZ ingempa kura, sasa hawezi kusema anawatimua baadhi ya viongozi kwani wao ndiyo wamemweka madarakani…support za kifedha kutoka kwa mafisadi kama Mramba zinaenda kwenye kampeni za CCM.

Vijana tuchague kiongozi makini kama Dr. Slaa, Prof. Lipumba tunahitaji mabadiliko sasa.
Well, whatever the case, kura zote kwa Dr. Slaa ili kuondoa mfumo huu mkongwe uliojiita katika jamii yetu. Kwa kumchagua Slaa tutapata mabadiliko na maendeleo ya haraka, kinyume cha hapo, tutaambulia patupu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom