Lowassa akishindwa Uchaguzi Mkuu 2015, kuna watu watalia mara mbili

Wadau,

Nimetafakari sana na hakika nawahurumia sana baadhi ya watu. Wakati Lowasa akiwa CCM, walijipambanua kuwa chaguo lao ni Lowasa. Tena wakaunda mitandao mingi kama Friends of Lowasa, 4U Movement nk. Hawa piga ua walikuwa wanaamini kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM ni Lowasa hivyo wakawa wanatumia muda mwingi kumnadi.

Baada ya Lowasa kukatwa na CCM, watu hao walilia sana na kusaga meno. Hata hivyo, kilio chao kilitulia baada ya Lowasa kuhamia CHADEMA. Wengi wao ambao wapo kwenye mitandao ya kijamii wakaenda huko kama vile nyumbu. Huku wakitaraji kuwa Lowasa ndiye Rais ajaye

Kutokana na upepo kuvuma vibaya, huku Lowasa akikimbiwa na kundi kubwa la wapiga kura, watu hao ambao kwa sasa wanajipambanua kwa kundi la Ulipo Tupo watalia tena kwa mara nyingine. Tena kilio cha safari hii hakina wa kuwafuta machozi. Maana baada ya kipigo atakachopata Lowasa, kundi hilo watapoteana kabisa.

Siku zi nyingi ukweli huu utadhihiri

Magazeti ya tarehe 26 yote yatakuwa hivi
"Baada ya Lowasa kukatwa na ccm saiv akatwa na taifa zima"

Namuhurumia sana sumaye na kingunge
 
Nishasema na narudia tena kusema,ccm ikishinda mwaka huu natembea uchi siku nzma,lowasa ni raisi wa tano wa tz,kama unabisha tu beti hapa sasa hiv
 
Wadau,

Nimetafakari sana na hakika nawahurumia sana baadhi ya watu. Wakati Lowasa akiwa CCM, walijipambanua kuwa chaguo lao ni Lowasa. Tena wakaunda mitandao mingi kama Friends of Lowasa, 4U Movement nk. Hawa piga ua walikuwa wanaamini kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM ni Lowasa hivyo wakawa wanatumia muda mwingi kumnadi.

Baada ya Lowasa kukatwa na CCM, watu hao walilia sana na kusaga meno. Hata hivyo, kilio chao kilitulia baada ya Lowasa kuhamia CHADEMA. Wengi wao ambao wapo kwenye mitandao ya kijamii wakaenda huko kama vile nyumbu. Huku wakitaraji kuwa Lowasa ndiye Rais ajaye

Kutokana na upepo kuvuma vibaya, huku Lowasa akikimbiwa na kundi kubwa la wapiga kura, watu hao ambao kwa sasa wanajipambanua kwa kundi la Ulipo Tupo watalia tena kwa mara nyingine. Tena kilio cha safari hii hakina wa kuwafuta machozi. Maana baada ya kipigo atakachopata Lowasa, kundi hilo watapoteana kabisa.

Siku zi nyingi ukweli huu utadhihiri

Atashindaje lakini, wewe unafikiri wapiga kura wanaishi kaskazini mwa nchi, wapiga kura wa urais ni wa Tanzania nzima kwa hiyo usitishwe na nyomi anayokusanya kaskazini
 
Kulia ni kulia tu, labda hata haihitaji alie mara mbili, labda awe anatoa sauti kama Mbuzi ndo kutakua na tofauti!

Magufuri mbona kashakata tamaa tayari,sasa anaombaomba kura hadi kwenye media kwa huruma kama analia vile,kila media kuna tangazo lake anaomba kura
 
uko sahihi , mimi nimechunguza na nimejiridhisha kwamba ccm itashindwa tena sana na magufuli ataingia kwenye vitabu vya kumbukumbu kuwa mwanaccm wa kwanza kabisa kushindwa uchaguzi wa rais tangu Mungu aumbe mbingu na ardhi .

Nalujia ww hauna utiamamu wa akili

Hivi kabisa uko busy kweli unafikiria lowasa atakuwa rais hapa tanzania?

Labda anunue kisiiwa
 
Magazeti ya tarehe 26 yote yatakuwa hivi
"Baada ya Lowasa kukatwa na ccm saiv akatwa na taifa zima"

Namuhurumia sana sumaye na kingunge
Nakwambia wanomuunga mkono Lowassa ni wapiga dili. Wanakula pesa yake kama walivyokuwa wakifanya ccm. Alivyokatwa wakasema Mzee unakubalika, ili waendelee kula hela yake wakamwambia ajiunge na maadui wake UKAWA. wapo wanazitafuna pia. Akishindwa watamwambia Mzee inabidi ukate rufaa, ili waendelee kuzitafuna mpaka senti ya mwisho.
 
Wadau,

Nimetafakari sana na hakika nawahurumia sana baadhi ya watu. Wakati Lowasa akiwa CCM, walijipambanua kuwa chaguo lao ni Lowasa. Tena wakaunda mitandao mingi kama Friends of Lowasa, 4U Movement nk. Hawa piga ua walikuwa wanaamini kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM ni Lowasa hivyo wakawa wanatumia muda mwingi kumnadi.

Baada ya Lowasa kukatwa na CCM, watu hao walilia sana na kusaga meno. Hata hivyo, kilio chao kilitulia baada ya Lowasa kuhamia CHADEMA. Wengi wao ambao wapo kwenye mitandao ya kijamii wakaenda huko kama vile nyumbu. Huku wakitaraji kuwa Lowasa ndiye Rais ajaye

Kutokana na upepo kuvuma vibaya, huku Lowasa akikimbiwa na kundi kubwa la wapiga kura, watu hao ambao kwa sasa wanajipambanua kwa kundi la Ulipo Tupo watalia tena kwa mara nyingine. Tena kilio cha safari hii hakina wa kuwafuta machozi. Maana baada ya kipigo atakachopata Lowasa, kundi hilo watapoteana kabisa.

Siku zi nyingi ukweli huu utadhihiri

Hapa Songea kuna kituo kinaitwa Lizaboni ukiwa unatoka mjini kwenda peramiho via ruhuwiko, hapo lizaboni kuna dampo moja la uchafu ambalo nadhani lingekua binadamu lingekua na akili kama zako:eek:
Nchi nzima wanataka mabadiliko na kila dalili zinaonesha ccm mwaka huu haichomozi hata kwa wizi wa kura😤
Toroka Uje mapema
 
Wadau,

Nimetafakari sana na hakika nawahurumia sana baadhi ya watu. Wakati Lowasa akiwa CCM, walijipambanua kuwa chaguo lao ni Lowasa. Tena wakaunda mitandao mingi kama Friends of Lowasa, 4U Movement nk. Hawa piga ua walikuwa wanaamini kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM ni Lowasa hivyo wakawa wanatumia muda mwingi kumnadi.

Baada ya Lowasa kukatwa na CCM, watu hao walilia sana na kusaga meno. Hata hivyo, kilio chao kilitulia baada ya Lowasa kuhamia CHADEMA. Wengi wao ambao wapo kwenye mitandao ya kijamii wakaenda huko kama vile nyumbu. Huku wakitaraji kuwa Lowasa ndiye Rais ajaye

Kutokana na upepo kuvuma vibaya, huku Lowasa akikimbiwa na kundi kubwa la wapiga kura, watu hao ambao kwa sasa wanajipambanua kwa kundi la Ulipo Tupo watalia tena kwa mara nyingine. Tena kilio cha safari hii hakina wa kuwafuta machozi. Maana baada ya kipigo atakachopata Lowasa, kundi hilo watapoteana kabisa.

Siku zi nyingi ukweli huu utadhihiri

Kumbe ni ww unayetukana watu na wao wakakwambia una..wa 071..
 
Back
Top Bottom