Lowassa akishindwa Uchaguzi Mkuu 2015, kuna watu watalia mara mbili

uko sahihi , mimi nimechunguza na nimejiridhisha kwamba ccm itashindwa tena sana na magufuli ataingia kwenye vitabu vya kumbukumbu kuwa mwanaccm wa kwanza kabisa kushindwa uchaguzi wa rais tangu Mungu aumbe mbingu na ardhi .
Tabiri zako mara nyingi huenda kinyume.
 
Hapo zamani Kaka mbweha alitamani Sana kumla Kaka sungura Ila ndonhovyo Tena Kaka sungura akawa ameahindikana kukamatika....

Siku moja Kaka mbweha akapiga hesabu akawaza jinsi ya kumkamata Kaka sungura...akajiwa akijifanya amekufa Basi Kaka sungura lazima atakuja kumuona tu...

Kaka sungura akapata taarifa kwamba Kaka mbweha kafa akaingia akamkuta Kaka mbweha amelala kimya Kama walivyodai amekufa..... akasema ka sauti., Mbweha akiwa amekufa huinua mguu mmoja juu...Mara mbweha akainua mguu mmoja juu....

Anasema Tena; bweha likiwa limekufa huwa linabweka Mara tatu....mara bweha nalo likabweka bweebweee bweee...sungura akanyanyuka na kutoka moto
 
Haaaahaaaahaaaa!!!!
 
Back
Top Bottom