Lowassa akishindwa Uchaguzi Mkuu 2015, kuna watu watalia mara mbili

Kutokana na upepo kuvuma vibaya, huku Lowasa akikimbiwa na kundi kubwa la wapiga kura,

Huo upepo mbona mi sijauona? Hilo kundi kubwa lilikomkimbia ndo lipi?
 
Na wakijaribu kuanzisha vurugu watakabiliana na mkono wa sheria. Vyombo vya ulinzi viko imara na macho kukabiliana hujuma yoyote ile. Tunataka amani. Ikulu kuna kiti kimoja tu. Amani amani amani. Amani tu.
 
Huenda pia chadema ikafa kabisa na ACT ndio kikawa chama kikubwa cha upinzani Tanzania.Hapo chadema ndio watalipa fidia ya kuwa kigeugeu kwa kuwaambia watu fulani ni mafisadi na baadae kusema watu hao hoa waliowaita mafisadi eti watamtetea mtanzania mnyonge!

We kweli poyoyo, chama ambacho kitakuwa na wabunge zaidi ya 130 tena wote vichwa kinawezaje kuwa kimekufa?!
 
Wadau,

Nimetafakari sana na hakika nawahurumia sana baadhi ya watu. Wakati Lowasa akiwa CCM, walijipambanua kuwa chaguo lao ni Lowasa. Tena wakaunda mitandao mingi kama Friends of Lowasa, 4U Movement nk. Hawa piga ua walikuwa wanaamini kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM ni Lowasa hivyo wakawa wanatumia muda mwingi kumnadi.

Baada ya Lowasa kukatwa na CCM, watu hao walilia sana na kusaga meno. Hata hivyo, kilio chao kilitulia baada ya Lowasa kuhamia CHADEMA. Wengi wao ambao wapo kwenye mitandao ya kijamii wakaenda huko kama vile nyumbu. Huku wakitaraji kuwa Lowasa ndiye Rais ajaye

Kutokana na upepo kuvuma vibaya, huku Lowasa akikimbiwa na kundi kubwa la wapiga kura, watu hao ambao kwa sasa wanajipambanua kwa kundi la Ulipo Tupo watalia tena kwa mara nyingine. Tena kilio cha safari hii hakina wa kuwafuta machozi. Maana baada ya kipigo atakachopata Lowasa, kundi hilo watapoteana kabisa.

Siku zi nyingi ukweli huu utadhihiri
nileyehama chadimu Mimi ni moja waooooo
 
Weka akiba ya porojo zako wewe! Utakuja kuumbuka vibaya sana wewe!
 
Kama CCM wamesema Lowasa amepanga kuiba kura 10,000,000
Basi Lowasa ndie mshindi...
Na kwa matusi anayotukanwa basi Lowasa ndie mshindi.... na kwa hela zinazotumika against yeye basi Lowasa ndie Raisi
 
Wadau,

Nimetafakari sana na hakika nawahurumia sana baadhi ya watu. Wakati Lowasa akiwa CCM, walijipambanua kuwa chaguo lao ni Lowasa. Tena wakaunda mitandao mingi kama Friends of Lowasa, 4U Movement nk. Hawa piga ua walikuwa wanaamini kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM ni Lowasa hivyo wakawa wanatumia muda mwingi kumnadi.

Baada ya Lowasa kukatwa na CCM, watu hao walilia sana na kusaga meno. Hata hivyo, kilio chao kilitulia baada ya Lowasa kuhamia CHADEMA. Wengi wao ambao wapo kwenye mitandao ya kijamii wakaenda huko kama vile nyumbu. Huku wakitaraji kuwa Lowasa ndiye Rais ajaye

Kutokana na upepo kuvuma vibaya, huku Lowasa akikimbiwa na kundi kubwa la wapiga kura, watu hao ambao kwa sasa wanajipambanua kwa kundi la Ulipo Tupo watalia tena kwa mara nyingine. Tena kilio cha safari hii hakina wa kuwafuta machozi. Maana baada ya kipigo atakachopata Lowasa, kundi hilo watapoteana kabisa.

Siku zi nyingi ukweli huu utadhihiri

Bila shaka wewe ndo huyu
 
Attachments

  • 1444384182486.jpg
    1444384182486.jpg
    61.1 KB · Views: 181
Huenda pia chadema ikafa kabisa na ACT ndio kikawa chama kikubwa cha upinzani Tanzania.Hapo chadema ndio watalipa fidia ya kuwa kigeugeu kwa kuwaambia watu fulani ni mafisadi na baadae kusema watu hao hoa waliowaita mafisadi eti watamtetea mtanzania mnyonge!
Kwa kuwa ndiyo kitakuwa chama chenye wabunge wengi bungeni.....ndoto mbaya hizo, amka wewe
 
Wewe unapost vitu vinavyofanywa na mataahira kweli wewe zuzumo nani kakuambia atashindwa
 
Jamaa atapata kipigo cha LUKAYA tarehe 25/10/2015! (Kwa wale walio na kumbukumbu ya vita vya nduli Dada)
 
Wadau,

Nimetafakari sana na hakika nawahurumia sana baadhi ya watu. Wakati Lowasa akiwa CCM, walijipambanua kuwa chaguo lao ni Lowasa. Tena wakaunda mitandao mingi kama Friends of Lowasa, 4U Movement nk. Hawa piga ua walikuwa wanaamini kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM ni Lowasa hivyo wakawa wanatumia muda mwingi kumnadi.

Baada ya Lowasa kukatwa na CCM, watu hao walilia sana na kusaga meno. Hata hivyo, kilio chao kilitulia baada ya Lowasa kuhamia CHADEMA. Wengi wao ambao wapo kwenye mitandao ya kijamii wakaenda huko kama vile nyumbu. Huku wakitaraji kuwa Lowasa ndiye Rais ajaye

Kutokana na upepo kuvuma vibaya, huku Lowasa akikimbiwa na kundi kubwa la wapiga kura, watu hao ambao kwa sasa wanajipambanua kwa kundi la Ulipo Tupo watalia tena kwa mara nyingine. Tena kilio cha safari hii hakina wa kuwafuta machozi. Maana baada ya kipigo atakachopata Lowasa, kundi hilo watapoteana kabisa.

Siku zi nyingi ukweli huu utadhihiri

Kuna watakaojiua, kuwa vichaa, kuacha siasa na wengine wataachika/kuachwa
 
Jipe moyo.... Walahi nakwambia huu uchaguzi CCM haishindi hata kwa dawa...... Never
uko sahihi , mimi nimechunguza na nimejiridhisha kwamba ccm itashindwa tena sana na magufuli ataingia kwenye vitabu vya kumbukumbu kuwa mwanaccm wa kwanza kabisa kushindwa uchaguzi wa rais tangu Mungu aumbe mbingu na ardhi .
 
Back
Top Bottom