Lowassa ajiweka mbali na kampeni Arumeru,ajikita kanisani..

Japokuwa ni mwepesi wa kutoa maamuzi lakini maamuzi yake mengi ni ya kukurupuka. Nakumbuka ni huyu aliyetuletea maamuzi ya kuleta mvua ya mabomu, ikashindikana. juu ya suala la foleni, aliletaga wazo lake la njia tatu, nilipoteza rafiki yangu pale karibu na makumbusho kwa ajali mbaya sana ya gari kutokana na implementation ya njia tatu. alisahau pia kuna wanafunzi walifundishwa na kukariri ya kwamba ukitaka kuvuka bara bara lazma kwanza uangalia kulia, then kushoto, kama hakuna gari wewe vuka. kwenye hili wanafunzi watoto wengi walipata ajali na kupoteza maisha na wengine kuwa vilema.

Mtu anakuwa waziri mkuu anashindwa kuisimaia serikali anayoiongoza.Sera ya shule za kata yeye aliitumia kama mtambo wa kuzalisha failures.Lowassa ana share kubwa katika kiwango hiki kikubwa tulicho nacho cha jobless people
 
  • Thanks
Reactions: FJM
mh rais utakumbuka nilikupgia simu ukiwa nje ya nchi kuhusu kuvunja mkataba wa richmond ukanambia niache umepata ushauri wa makatibu wakuu wa wizara,kila hatua niliyochukua kuhusu richmond nilikujulisha,leo hii watu wanakwenda mikoani na kusema majukwaani kuwa mimi ni fisadi,kosa langu ni nini?tena mwaka 1997 ililetwa ripoti ikiwa na mtazamo hasi isingekuwa hekima za mzee mkapa leo usingekuwa hapo ulipo mh rais................................
 
Lowasa yuko very funny.
Hata wapambe wake wameshindwa kumshauri.
Anazungumzia ajira za vijana kwenye a stagnant/static economy, hizo ajira atatengenezea wapi?
Kama angekuwa mjanja angesimamia sector moja ya uchumi, then angesema ni jinsi gani inaweza kuongeza ajira za vijana.
Sijui hiyo serikali yake ana dream itawapatiaje ajira hao vijana.

Afrian piloticians, never cease to amaze.
wanawaza kinyume nyume kabisa,
Yeye anajisemea tu lolote ambalo anadhani litamfanya awe maarufu na kumuweka karibu na watu kwa maslahi yake,uchumi wenyewe anaujulia wapi,yeye ni msanii wa maigizo kama kina kanumba ndio fani yake nadhani mnaona hata mavazi yake hapo kwenye hiyo shule ni ya kikanumba kanumba..!

Narudia tena hili neno "LOWASSA IS A DISASTER!" mwenye masikio na asikie tusije kulaumiana huko mbele ya safari.
 
mh rais utakumbuka nilikupgia simu ukiwa nje ya nchi kuhusu kuvunja mkataba wa richmond ukanambia niache umepata ushauri wa makatibu wakuu wa wizara,kila hatua niliyochukua kuhusu richmond nilikujulisha,leo hii watu wanakwenda mikoani na kusema majukwaani kuwa mimi ni fisadi,kosa langu ni nini?tena mwaka 1997 ililetwa ripoti ikiwa na mtazamo hasi isingekuwa hekima za mzee mkapa leo usingekuwa hapo ulipo mh rais................................

Kwa hiyo nayeye sasa anahitaji "hekima za mwenyekiti" ndio awe rais bila kuwa na sifa,basi itakua kazi kama ni hivyo kama tanzania mtu anaweza kuwa rais kwa hekima tu za mwenyekigoda..........!kweli zidumu fikra za mwenyekiti.
 
usiwe unaongea vitu usivovijua bwana mdogo .....

Kwani hana homa za vipindi?????????????????

we uliwahi kumsikia akizungumzia ajira za vijana wakti ule zaidi za zile mvua zake za kununua thailand....!

Huyu jamaa mnampenda tu kwa ajili ya hivi vipesa vya vichafu mnavyonufaika navyo kimtindo lakini hana mpango wowote.
 
Lowasa atatumia media kama alivyotumia kuwaangusha akina Sumaye ni Mshipa mtu king"ang"anizi kama nini hakuna mwananchi anyemuona wa maana zaidi ya kujulikana Fisadi lakini kakazana kujisafisha pitia kanisa sijapata ona hata Kanisa wamemkejeli wakasema hawajamualika bado ameenda hivi mukichwa zimo kweli Uchu wa Uraisi unamuwasha amesaidia nchi hii kwa kitu gani alikuwa waziri wa maji kwa nini basi hakujenga malambo huko kwa au akaanzisha estate ya kupanda nyasi wamasai wakaacha kuhangaika malisho ya mifugo kwao si angeanzisha tuviwanda tudogo kusindika maziwa jibini na nyama ya ngo.mbe ,ngozi tungemuona kweli anatengeneza ajira kwa vijana,hana analoliwaza yeye zaidi ya kukurupuka Je hayo ndio mapambano aliyosema yuko tayari kupambana,wa ajabu sana toka aote ndevu yuko kwenye chama na serikali iliyoshindwa kuleta ajira kwa vijana leo anawapiga vijembe akiwa mbunge wa chama hichi mwenyekiti wa kamati ya bunge mambo ya nje na usalama akiwa chama hicho,Lowasa ni mpuuuuzi kuliko wapuzi wanasiasa wengi tulionao anachofikiri ni maslahi yake,ona sasa alivyommuumiza mkwewe Sioi kama ni kweli anataka kujitoa ni kwa sababu aligombea kwa shinikizo kikawaida anapenda kugombea mwenyewe hakati tamaa hata akiona upepo hauendi kwake ,JK anatakiwa awe mkali na huyu bwana atamsumbua kama akina Mwakyembe na Sitta wanafiki wa karne
 
Back
Top Bottom