Independent Voter
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 279
- 71
|
Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa ufisadi wa richmond,Mh. Edward Lowassa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's ya Mkoani Morogoro. |
|
Wanafunzi wa Shule ya Sekindari ya Wasichana ya Mtakatifu Ann's iliopo Mkoani Morogoro wakiimba wimbo maalum wa kumkaribisha Mh. Waziri Mkuu aliyejiuzulu. |
|
Waziri Mkuu aliyejiuzulu,Mh. Edward Lowassa pamoja na Mkewe Mama Regina Lowassa wakiwa katika picha ya pamoja na Walimu wa Shule ya Mtakatifu Ann's ya Mkoani Morogoro. |