Lowassa ahutubia Baraza Kuu la CHADEMA

Daaah lowassa habari nyingine wanaozira waache tu wazira tu
 
Lowasa kutinga ikulu asubuhi na mapema 25 october, ukitaka kupata vichekesho kama hivi tuma neno"lowasa" kwenda 15559 ni bure kwa wana "ukawa" wote
 
Nyie pigeni danadana tu! Mnasubiriwa uwanjani refa filimbi anayo mkizidisha muda wa kumbwela anamiliza mpira.
Kama tunavyowakumbusha siku zote matokeo yenu mchukue mkizingua wakati huu mtapasuka.
 
Unasikitisha sana umelitaja jin la Mungu krb mara 5 sambamba na fisadi Lowasa huku ni kumkosea Mungu adabu klk pitiliza unapswa utubu kwa Mungu kwa kumkosea kiasi hicho!

Lowasa ni fisadi tna ni fisadi papa na ndiyo maana hata chama chake kilimkata kwa maana ufisadi wake ulipitiliza na walishindwa hata jinsi ya kumsafisha ili kushinda Uchaguzi wakaamua kumtema leo hii kahamia chadema unaanza kumusisha na Mungu kwa lipi?
Kwa maana nyingine mateso wanayoyapata Watz kuanzia kufa br kwa ajali, kukosa Umeme, wamama kujifungulia barabarani, watoto kushindwa kusoma kote huku huwezi kukutenganusha na fisadi Lowasa, hela alizoiba ambazo leo hii anazitumia chadema ni fedha haramu ndizo zinazokosekana mahospitalini, shuleni, ujenzi wabr n.k hivyo hayo yote ni kinyume na matakwa ya Mungu na hivyo ni dhambi kubwa kumuhusisha fisadi Lowasa na Mungu kwa vyovyote vile kwanza siajabu hata Mungu hakumuumba fisadi huyu!
Angalieni mwehu mwingine huyu sijui kaibukia wapi. Wewe ndio unamkosea mungu adabu kwa kumhukumu mtu ambaye huna uhakika na ufisadi unao uongelea juu yake. Humjui mungu na huna imani. Ukiitwa na kuombwa kutoa ushuhuda wa ufisadi unaoongelea hapa utaishia kuzungumzia magazeti na blogs ziliandika Lowassa fisadi. Acheni kuwa waongo na kuamini ujinga ujinga wa mitaani. Mnaacha kuwasema wakina Chenge wenye ushahidi wa kutosha wa billion za fedha mnakuja msema baba wa watu. Fanya kazi mama ulipe kodi fedha zako zije kutumika na CCM kukununua uwapigie kura.
 
JK ndiye aliyeuza hii Ng'oma kwa makusudi kabisa .... hata Mh. Mbowe alimshukuru live
 
CHADEMA kuingia Ikulu ni ndoto ya Ndaria.' Haupo mshikamano kati ya Mpanda ngazi na mshuka ngazi.UKAWA wanadanganyana wanatuhadaa kuwa wako pamoja lakini kiundani hawana dhamira moja.

iSITOSHE umoja huu ni ndoa ya mkeka pale viongozi wa vyama vya upinzani walipoungana kutokana na mihemuko hasi pale Bungeni ambayo haikutokana na wanachama wao.Wanachama wao hawakuridhishwa na muungano wao ambao hauna kichwa wala miguu.

HAIWEZEKANI na haingii akilini, hii ni ya mwaka, mko mapambanoni mmoja wa mlokuwa mkikinzana naye anaingia kwenye kundi lenu, nanyi kwa hofu za kushindwa na kwa kujua kuwa alikuwa jemadari mzuri alikotokea bila kuwaza mna mpokea na kwa kutegemee atawapigania vizuri mna mpa ukamanda mnajipenda kweli?.Je kama ni kachero simtakuwa mmejimaliza wenyewe.

Tambueni askari yeyote yule hula kiapo cha uaminifu, akiamua kuasi huwa anajitafutia hukumu ya kifo.Hamwoni CCM IMEMTUMA.UKAWA amkeni hiyo mtu ni CCM damu damu.
 
Unasikitisha sana umelitaja jin la Mungu krb mara 5 sambamba na fisadi Lowasa huku ni kumkosea Mungu adabu klk pitiliza unapswa utubu kwa Mungu kwa kumkosea kiasi hicho!

Lowasa ni fisadi tna ni fisadi papa na ndiyo maana hata chama chake kilimkata kwa maana ufisadi wake ulipitiliza na walishindwa hata jinsi ya kumsafisha ili kushinda Uchaguzi wakaamua kumtema leo hii kahamia chadema unaanza kumusisha na Mungu kwa lipi?
Kwa maana nyingine mateso wanayoyapata Watz kuanzia kufa br kwa ajali, kukosa Umeme, wamama kujifungulia barabarani, watoto kushindwa kusoma kote huku huwezi kukutenganusha na fisadi Lowasa, hela alizoiba ambazo leo hii anazitumia chadema ni fedha haramu ndizo zinazokosekana mahospitalini, shuleni, ujenzi wabr n.k hivyo hayo yote ni kinyume na matakwa ya Mungu na hivyo ni dhambi kubwa kumuhusisha fisadi Lowasa na Mungu kwa vyovyote vile kwanza siajabu hata Mungu hakumuumba fisadi huyu!

mbona fisadi mkwere kaiba kila kitu lakini anatajwa msikitini na kanisani kila siku
 
Mh. Tunaomba kama wapiganaji tuliyokutangulia kwenye uwanja wa vita, plse gwanda ndiyo vazi la kazi. Usipo vaa gwanda unakosa utisho kwa ma ccm.
 
Angalieni mwehu mwingine huyu sijui kaibukia wapi. Wewe ndio unamkosea mungu adabu kwa kumhukumu mtu ambaye huna uhakika na ufisadi unao uongelea juu yake. Humjui mungu na huna imani. Ukiitwa na kuombwa kutoa ushuhuda wa ufisadi unaoongelea hapa utaishia kuzungumzia magazeti na blogs ziliandika Lowassa fisadi. Acheni kuwa waongo na kuamini ujinga ujinga wa mitaani. Mnaacha kuwasema wakina Chenge wenye ushahidi wa kutosha wa billion za fedha mnakuja msema baba wa watu. Fanya kazi mama ulipe kodi fedha zako zije kutumika na CCM kukununua uwapigie kura.

Ninao ushahidi lukuki kumuhusu fisadi Lowasa, wa kwanza kabisa Richmond huwo uko wazi, wa pili kukatwa kwa jina lake CCM kwa sababu ya Ufisadi hii ndiyo sababu iliyotolewa na chama chake hivyo angepinga kwa kwenda mahakamani kwa kusingiziwa kuwa fisadi lkn hakufanya hivyo, Ushahidi wa Tatu ni Mwembe yanga alitajwa na chadema kama ni moja kati ya mafisadi papa TZ na hakwenda mahakamai kupinga hilo, wa nne Mtoto wake alikuwa anatafutwa Uingereza kwa kumiliki nyumba ya mamilioni wakati yeye ni mtoto wa mfanyakazi wa Serikali, wa tano Nyumba ya ubalozi wa AK Masaki ni ya kwake...
 
Angalieni mwehu mwingine huyu sijui kaibukia wapi. Wewe ndio unamkosea mungu adabu kwa kumhukumu mtu ambaye huna uhakika na ufisadi unao uongelea juu yake. Humjui mungu na huna imani. Ukiitwa na kuombwa kutoa ushuhuda wa ufisadi unaoongelea hapa utaishia kuzungumzia magazeti na blogs ziliandika Lowassa fisadi. Acheni kuwa waongo na kuamini ujinga ujinga wa mitaani. Mnaacha kuwasema wakina Chenge wenye ushahidi wa kutosha wa billion za fedha mnakuja msema baba wa watu. Fanya kazi mama ulipe kodi fedha zako zije kutumika na CCM kukununua uwapigie kura.

Kwani ye ndo alomtangaza lowasa ni fisadi? Mbona kama umepanic walomtangaza kuwa lowasa ni fisadi ni mbowe na slaa koo walikua wanamtangaza bila ushahidi bac ni wanafiki!
 
Back
Top Bottom