Lowassa: A must have friend

rr3

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
3,045
3,821
Kila nikitafakari, natamani ningekuwa na rafiki kama Lowassa.

Mtu mkimya, mstaarabu aliyejaa hekima na hofu ya MUNGU.

Ni mambo mangapi ambayo LOWASSA anayajua kuhusu rafikiye ambaye hawakukutana barabarani. Hata siku moja hajawahi kutamka siri yeyote kuhusu JK na chama chake.

Kuna watu ni waropokaji, wangekuwa wameshamwaga mchele siku mingi toka 2008. Lakini EL kavumilia anaendelea na yake. Huyu mtu ana koromeo.

Ametukanwa hadi na akina nape, mzee wa watu kimya tu. Je si huyu ndiye anayetufaa kwa sasa?

Hakika huyu ndiye ajaye na atatuvusha.

Kwanza Rais anatakiwa asiwe muongeaji ovyo na mropokaji. Waongeaji wengi si watendaji na WATENDAJI WENGI SI WAONGEAJI. Mtu mkimya ni mtu mtendaji sana. His actions speaks for him.

OUR NEXT PRESIDENT IS EDWARD LOWASSA. GOD HAS FINALLY CAME TO OUR RESCUE.

LONG LIVE MY PRESIDENT
 
Huyu jamaa ni Zaidi ya Rais atatufikisha mbali sana kimaendeleo na uhakika ndani ya siku mia itakuwa ni sawa na miaka 54 ya CCM
 
Lowassa is the greatest man i have ever seen in my entire life, he will be a greatest man in the rest of my life.

Lowassa kanifundisha mambo mengi sana kwenye maisha, uvumilivu,upole, ukarim,upambanaji,ukimia.

Kubwa zaidi Lowassa kwamba siku zote usikate tamaa, usikatishwe tamaa,usife moyo, pigania haki zako na ndoto zako unazoziamini, siku zote simamia ndoto zako,usikatishwe tamaa.

Lowassa kanifundisha kwamba sio kila tuhuma ni ya kujibu,unakaa kimia mwisho jamii yenyewe inakuja kugundua kwamba ulionewa,ulipakaziwa na wenyewe watakutakasa,sio kila jambo aqu tuhuma ni za kujibu.
 
Kila nikitafakari, natamani ningekuwa na rafiki kama Lowassa.

Mtu mkimya, mstaarabu aliyejaa hekima na hofu ya MUNGU.

Ni mambo mangapi ambayo LOWASSA anayajua kuhusu rafikiye ambaye hawakukutana barabarani. Hata siku moja hajawahi kutamka siri yeyote kuhusu JK na chama chake.

Kuna watu ni waropokaji, wangekuwa wameshamwaga mchele siku mingi toka 2008. Lakini EL kavumilia anaendelea na yake. Huyu mtu ana koromeo.

Ametukanwa hadi na akina nape, mzee wa watu kimya tu. Je si huyu ndiye anayetufaa kwa sasa?

Hakika huyu ndiye ajaye na atatuvusha.

Kwanza Rais anatakiwa asiwe muongeaji ovyo na mropokaji. Waongeaji wengi si watendaji na WATENDAJI WENGI SI WAONGEAJI. Mtu mkimya ni mtu mtendaji sana. His actions speaks for him.

OUR NEXT PRESIDENT IS EDWARD LOWASSA. GOD HAS FINALLY CAME TO OUR RESCUE.

LONG LIVE MY PRESIDENT

You are one of the most intelligent persons in the world. Umeandika almasi tupu na ni wenye akili timamu sizizoghoshiwa tu ndio watakuelewa fika. Take a billion likes
 
Aika mbe.
 
Basi tuu waafrika tunajidharau tuu lkn ENL ni moja ya public figure wa kuigwa duniani....binafsi huwa anani hamasisha sana hasa kimaisha,huwa siku zote najiona ni mpya, He is my role model
 
Back
Top Bottom