Leo hapa katika Kanisa la KKKT USA river maeneo ya Ngaresero alitokea ibadani Edward Lowassa nakulisalimia kanisa kwakua alikua anapita maeneo haya. Pia katika rambirambi alinunu mua kwa tsh 400,000 tu.....Nadhani kuanzia leo mze mzima atakua eneo la tukio huku Arumeru mashariki kumnadi mkwewake.