Lowasa ndani ya meru kanisani kama kawaida

Imma01

Member
Feb 3, 2012
34
25
Leo hapa katika Kanisa la KKKT USA river maeneo ya Ngaresero alitokea ibadani Edward Lowassa nakulisalimia kanisa kwakua alikua anapita maeneo haya. Pia katika rambirambi alinunu mua kwa tsh 400,000 tu.....Nadhani kuanzia leo mze mzima atakua eneo la tukio huku Arumeru mashariki kumnadi mkwewake.
 
Huyu bwana kama anawapenda watz anunue viwanja maeneo ya biashara ili sisi vijana anaosema ni bomu linalosubiriwa tupate pa kupata ajira mf kuoshea magari, madarasa ya muda(tuition) pa kuchezea watoto (open areas) hapo tutajua kweli kwamba anatukwamua kwenye tabu na siyo abakie kulaumu na huku anamwaga pesa pasipoonekana, Lowasa umesikia?
 
Leo hapa katika Kanisa la KKKT USA river maeneo ya Ngaresero alitokea ibadani Edward Lowassa nakulisalimia kanisa kwakua alikua anapita maeneo haya. Pia katika rambirambi alinunu mua kwa tsh 400,000 tu.....Nadhani kuanzia leo mze mzima atakua eneo la tukio huku Arumeru mashariki kumnadi mkwewake.

Ngoja afike kwenye kampeni tuone uwezo wa PADRE kupambana naye, nahisi ataufyata
 
Acheni majungu, yeye ni mtz hatakiwi kuomba pasport kushiriki misa kanisani; CDM huo ni woga
 
Kama CDM tutashindwa kuchukua nchi 2015 then ccm candidate anayepaswa kuchuku uraisi 2015 ni Lowasa - ni mtazamo tu
 
Mkuu anatisha na anastahili pongezi tuache wivu ni wachache haswa wanasiasa wanorudi kwa mungu wao na kumtolea kile walichonacho bila tabu.
 
Ameamu kuvamia KANISA LA KITAPELI KULIKO YOTE TANZANIA (KKKT) mkwe lazima achukue jimbo
 
Yale yale ya ifakara na kusimika askofu mpya. Alijialika na kusababisha watu wengine kukosa viti manake hakuandaliwa chake! Sasa Arumeru anaenda kusali ni kanisa lake? Alimuaga mchungaji wake na kuja na barua ya safari? Na minada ya kanisani ndo show nzima! Kha!
 
Juzi nilileta thread humu jamvini watu wakapinga na kusema kuwa Lowassa kapigwa marufuku kufika Arumeru.

Kazi imekwisha wakuu najua Pro-Chadema JF mmekuwa wakiwa sana ndio siasa zilivyo.

Lema, Lowassa ndio huyo kaishafika Arumeru kazi kwako!
 
Huna Adabu Kanisa la Kitapeli maana yake nini?@TIQO Unahitaji kufundishwa hadabu.

Yes indeed TIQO yuko right afundishwe adabu na nani!? binafsi ni muumuni wa KKKT na nadiriki kusema KKKT ufisadi umo ushirikina na uchafu mwingineo mwingi kuhusu ushirikina nenda usharika wa Bungo mjini Morogoro do your research you will come up with same finding na kuhusu ufisadi makao makuu ya dayosisi yanaongoza cause hata taasisi ya kanisa wamejibinafsishia baba maaskofu wafanyakazi wengi ni ndugu zao wa karibu na mbali achilia mbali wizi wa mali za kanisa KKKT dayosisi ya Kaskazini na mkoani Arusha zinaongoza katika hili.
 
Back
Top Bottom