Lowasa na uchaguzi Arumeru

Lowassa ndie rais wetu 2015, he is the development dictator and thats the kind of man we want kwa Tanzania ya leo!
The director of siphoning our Economy and transferring it abroad, money laundering that's your Boss!!!!!!Offer him the Presidency Tanzania will be finished, bankrupt within a twinkle of an aye!!!!

 
Kuna tetesi ambazo bado nazifanyia kazi ni kwamba nimeambiwa kabla Baba wa taifa hajatangulia mbele ya haki alishaona mbali na alisharudisha kadi ya uanachama wa CCM kwakua alijua kabisa huyu Lowasa ataleta maafa makubwa sana kwenye chama alichokiasisi Marehemu Mwalimu! Ndio anakubalika kwauchapaji kazi lakini hii yakuwarubuni watu ndani ya hekalu la bwana hatuikubali! Muulize atazirudishaje hizo hela????:A S embarassed:
 
inasemekana Mh. Lowasa, anahusika kwa kiwango kikubwa kuhakikisha kuwa Sioi Sumari anagombea Arumeru na kunyakua jimbo hilo ili ajiimarishe kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2015, kutokana na mashuhuda wetu wa sirini lowasa alitoa Tshs 1b kama takrima kwa wapiga kura ili zitumike wakati wa uchaguzi
Sawa wewe ulitegemeaje? ingekuwa ni wewe kweli usingempigania kwa hali na mali MKWE wako ili apate ulaji na wakati huo huo awe ni mtaji katika harakati zako za baadaye? Au hukujua kama ni mkwewe!
 
kama batilda alinyimwa kura baada ya watu kuvumishiwa kuwa anamimba ya Lowassa, sijui iatakuaje kwa huyu SIOI ambae wananchi wote wanajua ni mkwe wa Lowassa??. . ! . .?!!!
 
quote_icon.png
By JOBE Lowassa ndie rais wetu 2015, he is the development dictator and thats the kind of man we want kwa Tanzania ya leo!

NDOTO ZA MCHANA WW NA SIOI ALIYEOA KWA LOWASSA URAIS KM NI RAIS NAMNA HIYOBASI ATATOKA KWINGINE NA SI KASKAZINI (KILIMANJARO, ARUSHA , MANYARA nk)
 
Kama ni kweli 1b ni kiasi kikubwa cha fedha kwa jimbo moja tu na ina maana ana fedha nyingi kiasi gani.Labda kama anazimwaga kukwepa kushikwa fedha haramu kutokana na uhakiki unaoendelea kwenye Mabenki hapa nchini.
 
Sioi ndio mbunge wa Arumeru hata CDM wanalijua hilo, anasubiri kuapishwa tu


Natabiri huu ndiyo mwisho wa umaarufu wa kisiasa wa EL kwani mtego umetegwa ili atoe hela nyingi ambazo kesi ikifunguliwa ashindwe kiulaini kwa mashahidi wengi .CCM wako tayari kushindwa Arumeru lakini El aporomoke na akwishney!
 
Jamani CCM inashinda Arumeru tena ushindi wa kishindo kama Uzini msiyopenda pigeni porojo mwisho wa siku mtaona mlibisha sana kuhusu jimbo la Uzini mwisho wa siku mmekaa kimya kama jibaba lililofumaniwa na mke wa mtu!
 
Jamani CCM inashinda Arumeru tena ushindi wa kishindo kama Uzini msiyopenda pigeni porojo mwisho wa siku mtaona mlibisha sana kuhusu jimbo la Uzini mwisho wa siku mmekaa kimya kama jibaba lililofumaniwa na mke wa mtu!
Naona kichwa kimeanza kukuuma ongeza tena kumeza panadol ziwe nyingi vinginevyo utazimia!!!!!!!

 
Nasubiri Lowasa, Nape na Sitta wakutane AruMeru Mashariki kwenye jukwaa moja la kampeni.
 
Back
Top Bottom