Lowasa na uchaguzi Arumeru

Baba KimsJR

New Member
Feb 21, 2012
1
0
inasemekana Mh. Lowasa, anahusika kwa kiwango kikubwa kuhakikisha kuwa Sioi Sumari anagombea Arumeru na kunyakua jimbo hilo ili ajiimarishe kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2015, kutokana na mashuhuda wetu wa sirini lowasa alitoa Tshs 1b kama takrima kwa wapiga kura ili zitumike wakati wa uchaguzi
 
Sioi ndio mbunge wa Arumeru hata CDM wanalijua hilo, anasubiri kuapishwa tu

inasemekana Mh. Lowasa, anahusika kwa kiwango kikubwa kuhakikisha kuwa Sioi Sumari anagombea Arumeru na kunyakua jimbo hilo ili ajiimarishe kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2015, kutokana na mashuhuda wetu wa sirini lowasa alitoa Tshs 1b kama takrima kwa wapiga kura ili zitumike wakati wa uchaguzi
Mkuu Tshs. 1b kweli kwa Arumeru tu? Kila mpiga kura alipata kiasi gani? Mimi najua takrima za kitanzania huwa ni 5000 ikizidi sana 10,000.00. Kwa billion moja mbona atakuwa amemlipa kila mwananchi wa Arumeru na chenji kurudi?
 
Lowassa anajifilisi bure...hatakuwa Rais wa nchi hii.Hatuwezi kuongozwa na mwizi na muuaji kama yeye

Mimi nakuunga mkoo 100% yaani endapo ccm watamsimamisha EL Mimi nitaapa kama JL MPAKA KIELEWEKE kwa ajili ya kumtetea hayati Mwl.JK KWAMBA IKULU KUNA BIASHARA GANI HADI............?

Hata hivyo vita dhidi ya pesa haramu inatakiwa iongozwe na wananchi wa kawaida kwani kwenye Dini imeshakuwa tamu,ndiyo maana hata viongozi wa kisiasa wamewakataa viongozi wa Dini kutoa elimu ya uchaguzi Arumeru na kwingineko.
 
wanazani arumeru ni igunga, ngoja waone moto wa chadema. vita ya pili yakitaifa itatangazwa pale.
 
Aisee kama ni hivyo watagawa hela sana hawa..kama huyu white hair ameweka mkono.
 
Hata arusha mjini alimwaga hela za ukwel bado mama alipigwa chin..waliokkuwa arusha kipindi kile usingetarajia lema anjemshinda..alihonga vijana wengi ila jion wako na lema...haya yatamkuta sioi wa lowasa
 
Hizi promo manazompatia Lowassa hazina msaada sana kwa
SIOI....Lowassa alimpigania sana Batlida kwa mtindo huu huu lakini bado Mama alilowa Kwa Lema...Pesa siyo tishio sana kwa siasa za sasa ambapo watu wameamuka...wanapokea pesa lakini wanafanya tofauti kwenye sanduku la kupigia kura...

Kwa hiyo CCM wanapaswa kujipanga upya...mbinu hii inaelekea kufeli...nimeshuhudia hili katika majimbo ya Nyamagana na Ilemela jijini Mwanza mwaka jana...Masha na Diallo walitembeza pesa ile mbaya...Lakini mwisho wa siku waliangukia pua...anyway siwafahamu vizuri wa Meru...ngoja tusubiri.
 
Lowassa anajifilisi bure...hatakuwa Rais wa nchi hii.Hatuwezi kuongozwa na mwizi na muuaji kama yeye

Kama hatakuwa rais ataweka kibaraka wake awe rais na atahakikisha wenyeviti wote wa ccm wanamsujudia na wanimba wimbo wake.....!
 
Huyo Sumari ndio mkwe wake Lowasa na dio mkwe mkubwa inaonyesha jamaa ni jinsi gani anavyo tengeneza mazingira ya kuingia ikulu kwa kishindo
 
Hivi huo wivu wenu na chuki zenu binafsi dhidi ya EL hamuziachi?

acha ufala na ujinga wako, nani ana wivu na jambazi anayewaibia wajane na yatima, wewe unamfahamu huyu sumari? ndie mkwe wa lowasa kamwoa pamela lowasa! usultani unaendelea mbaya zaidi si kwa pesa za ukoo kama ilivyo huko kenya, bali kwa pesa zilizochotwa pale BOT
 
inasemekana Mh. Lowasa, anahusika kwa kiwango kikubwa kuhakikisha kuwa Sioi Sumari anagombea Arumeru na kunyakua jimbo hilo ili ajiimarishe kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2015, kutokana na mashuhuda wetu wa sirini lowasa alitoa Tshs 1b kama takrima kwa wapiga kura ili zitumike wakati wa uchaguzi

Acha uppuzi bwana mdogo, unamaana gani MASHUHUDA WETU WA SIRINI, au ndo unatuletea habari zenu za TAARIFA ZA KIINTELIJENSIA.. Be critical, otherwise keep quiet, sio lazima kuchangia
 
Kama hatakuwa rais ataweka kibaraka wake awe rais na atahakikisha wenyeviti wote wa ccm wanamsujudia na wanimba wimbo wake.....!

Naona mwanga unaanza kuwamulika na mnabadilisha wimbo kuwa hata akishindwa atamuweka kibaraka wake!! Huyu bwana hakuna njia hata ahonge fedha za kuijaza bahari hawezi kupata urais mwishowe atakuja kufa kihoro!!
 
Back
Top Bottom