Lowasa:Kihukumuni ccm kwa kutekeleza sera zake

Lowasa kiboko kaanza mapema kuwa karibu na wananch wa kadaea zote kujiweka sawa hata atakapochukua form 2015 msishangae.
 
naye asituchanganye...juzi kasema serikali iunde tume kwa ajili ya kushughulikia suala la kupanda kwa hali ya maisha na maslahi ya wafanyakazi....leo tunaye mtu huyo huyo akisema tukihukumu chama kwa kutekeleza ahadi zake na si siasa za chuki...kazi kweli kweli!!!!

siku hizi anabwabwaja kama zuzu
 
Back
Top Bottom