Lowasa alitamka jambo hadharani ndani ya NEC je ni neno lipi ?

(no offence) ila kaka Lunyungu sasa inaboa kwa sababu wewe unaweka watu wazima kusubiri kitu ambacho unasema una uhakika nacho, kwanza kama vipi hii issue yako ungeichanganya na FMES kwenye ''kutoka Dodoma'' maana ndiyo mambo anayoongelea ni kutoka kwenye kikao ambacho na wewe unaongelea, ila uzuri yeye anaweka straight forward mambo aliyoyapata na kama kuna kitu kakosea unaweza ukamrekebisha , kwa nini na wewe usiweke tuu ili kama kuna misunderstanding watu wakurekebishe? unasema wewe ni ''grown man'' then act like one. Hizi ni views zangu binafsi na kama hazijakufurahisha sorry. Ila ndio maana nimeona umeanza kwa kujihami kwamba una maadui, kama unakuwa huweki mambo yako straight straight humu JF unaweza kuona wanaokupinga ni maadui na ni wewe tuu na akili yako inavyokutuma kutafuta maadui humu JF. Ila naomba usije ukaniweka kwenye kundi la maadui zako. (Ni maoni yangu tuu.)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom