Kaka acha kupoteza Muda wewe kwenda kwenye vyuo uchwara...Sasa hv watu wametoka kwenye 3D wako kwenye MAYAR ni zaidi ya 3D...Kichange nenda India wanatisha balaa.
Mzee wa njaa kweli una njaa mzee. Kwanza naona umepotea njia mkuu naona unahisi unajua kumbe mweupe ka sembe la azam. Kama hujui uliza sio unashambulia, moja elewa Maya( na sio MAYAR kama ulivyoandika na kiingereza chako cha saint kayumba) ni software ya 3D hivyo umekurupuka, pili hujawahi kuona wala kutembelea chuo cha MediaOne hivyo hujui kinachoendelea pale umebaki na mawazo yako mgando ya kukimbilia India, sikatai kuhusu India wako vizuri lakini itakuwa kazi bure kama una kichwa kibovu kama chako kwenda kusoma india utarudi uko vilevile. Animation its creativity kama hujazaliwa nayo utasoma kila chuo duniani utaishia kujua kutumia software tu. Kuna vingine vinafanyika bongo hivyo toka pangoni utauona mwanga...
Nenda DIT mwanatoa hiyo course
mkuu kuna mahali nimeona kitu cha 4D....hiki kinaweza kuwaje....?
mkuu kuna mahali nimeona kitu cha 4D....hiki kinaweza kuwaje....?
we provide the following courses
(1)3d animation with autodesk maya,adobe photoshop,autodesk 3ds max,pixologic zbrush
(2)vfx with adobe after effects,wondertouch particle illusion,autodesk maya,3ds max
(3)compositing with autodesk toxik,ayeon fusion,adobe after effects .contact us on 0659522469
mwambie huyo.Mzee wa njaa kweli una njaa mzee. Kwanza naona umepotea njia mkuu naona unahisi unajua kumbe mweupe ka sembe la azam. Kama hujui uliza sio unashambulia, moja elewa Maya( na sio MAYAR kama ulivyoandika na kiingereza chako cha saint kayumba) ni software ya 3D hivyo umekurupuka, pili hujawahi kuona wala kutembelea chuo cha MediaOne hivyo hujui kinachoendelea pale umebaki na mawazo yako mgando ya kukimbilia India, sikatai kuhusu India wako vizuri lakini itakuwa kazi bure kama una kichwa kibovu kama chako kwenda kusoma india utarudi uko vilevile. Animation its creativity kama hujazaliwa nayo utasoma kila chuo duniani utaishia kujua kutumia software tu. Kuna vingine vinafanyika bongo hivyo toka pangoni utauona mwanga...
Vp brah, what happened did you push through or what? 2D all the way, just simple tutorials ones everynow and then, a bit of free time after everyday work nd a little determination who equals https://drive.google.com/file/d/0B4V7QyehEzrRTXl1aEE5UFRNNVU/edit?usp=sharing whowadau nisaideni kunijuza juu ya chuo ambacho kinaendesha course ya 3D animation kwa hapa tanzania(DSM).vyuo vingi nilivyotembelea vinaendesha course ya graphics design tuu.nawasilisha.