Loo Maskini..hii ni Tanzania??

557259_446388828725317_760995017_n.jpg
 
Mchana wa saa saba watu wanarara-rara tu. And then wanatarajia wapate maendeleo.

umeishajua chanzo cha wao kulala hata kama ni saa saba za mchana?? au umeona ni bora uchangie walau uonekane na jujijazia "like" zisizokua na mantiki. Watu kama ninyi ndio chanzo cha ukosefu wa mvua hapa nchini na ongezeko la uch****i.
 
mi cjakusoma mkuu
 
Watoto matumbo nje, na Kikwete kazi kucheka tu tangu asubuhi hadi jioni! Wewe ni baba, wewe ni mama, Tanzania ni familia yako - watoto matumbo nje, hawatoi haja kubwa, hawakojoi, hawana pa kujisitiri mvua, wewe unajiita raisi!
Kwanini mfanyakazi wa chama au serikali anayeishi Dar es salaamu, aendeshe gari kubwa la Shilingi za kitanzania Milioni 100 wakati angeweza kutumia KISUZUKI tu, kikafanya kazi ile ile ya kumpeleka kazini na nyumbani kwa shilingi milioni 25, na hizo 75 zilizobaki zikatumika kubadilisha hali ya hao watoto! Jamani! Watoto matumbo nje, lakini kazi ya Raisi ni nini - kuwacheka tu! Kama Uraisi ndiyo huo, mimi siutaki Baki nao Bwana kwani siku itafika, wewe na hoa mafidhuli wenzako mtawajibishwa na Maulana wa Utaala! Hayo mliyojilimbikizia hayatawafaa hata kwa mdhamani, kwani yote yatabaki hapa hapa! Hii inatia uchungu na huzuni sana!
 
Kuondoa hali hii tunatakiwa kubadilika kwanza kwa kuichukia hali yenyewe na kuiona kuwa haikubaliki vyovyote vile, pili kupambana na visababishi vyake, kama tatizo ni wachache wanaotumia rasilimali za nchi vibaya, tukiamua tunaweza kujipanga tukawashughulikia kwa muda mfupi tu! Hakuna kisichowezekana!
 
Lakini.............!!!!!!!!.....????nimesema sana,nimeandika sana...sasa ni muda wa vitendo
'vox populi,vox dei'
 
Halafu utakuta wa Tz hao waishi karibu na mgodi.
Inaleta hasira na uchungu sana.
 
Bado tuna safari ndefu ya ukombozi wa kweli kwa wote

Inaumiza sana kuona mambo kama haya

Mungu tu aturehemu na kutusaidia kupata viongozi watakao yachukulia haya kama matatizo yao
 
namshukuru Mungu, nilishawahi kuishi maisha kama haya utotoni mwangu, kwa kifupi ni kwamba nimekuwa katika maisha kama haya hadi nilipofika miaka 14, namshukuru Mungu amenifikisha mbali sasa, nimesoma nimefika mbali, nimetembea nchi za kutosha ulaya na america etc, nina kazi nzuri, nyumba nzuri na biashara nzuri,.. kweli Mungu amenitoa mbali, sifa na utukufu ni kwake.
 
Back
Top Bottom