Long Distance Relationship: Raha, kero na jinsi ya kutunza mahusiano

Hamkufuata masharti...mtakaaje miaka 10 bila communication afu bado useme she was still your girl?

Too bad the 1st girl I loved left me w/out communication for almost 10 yrs only to come and find that Iam married with 2 kids!I had to hurt a lot of girls on the way before realizing tht was injustice and decided to get married!Distance is a love killer!Asiyekuwapo na lake halipo!
 
by jingle:naamini kuwa mtu anapopenda na sio kutamani basi hupenda kweli!mchumba wangu anapokuwa college huwa anabadilika sana,majibu yake huwa yanakatisha tamaa,arudipo likizo ananiomba nimvumilie,ninapo hoji,anasema hata yeye hajui kwann inakuwa hivyo!nifanyeje jaman?nikibolonga kuchagua mchumba basi nitakuwa nimeharibu maisha yangu!nisaidien wana jamii!
 
Upendo unapungua sana kwa watu kukaa mbali. Kama sio basi atakua na mwingine huko chuoni
 
asante mnene!unaonaje nichukue hatua ili kuokoa muda?nimesubiri takribani miaka 5 tangu akiwa A'Level.
 
by jingle:naamini kuwa mtu anapopenda na sio kutamani basi hupenda kweli!mchumba wangu anapokuwa college huwa anabadilika sana,majibu yake huwa yanakatisha tamaa,arudipo likizo ananiomba nimvumilie,ninapo hoji,anasema hata yeye hajui kwann inakuwa hivyo!nifanyeje jaman?nikibolonga kuchagua mchumba basi nitakuwa nimeharibu maisha yangu!nisaidien wana jamii!

love doesn't ask why-celine dion
 
sana tu.
Enzi zetu tulikuwa na methali isemayo 'fimbo ya mbali haiui nyoka'. Ukiunganisha hiyo na msemo wenu wa 'chapa ilale' utapata jibu
 
unajua nn kichwat?wazaz wangu wanamkubali sana huyu msicha!nimejaribu kuwaeleza mapungufu yake hawanielewi!
 
Kinacho semekana hapo kupungua kwa upendo ni kweli kwa kiasi fulani but kitu kikubwa ni kuweka mazingira ya uhusiano wenu sawasawa,
mfano mzuri ni mawasiliano ya mara kwa mara na kila mmoja akatambua shuguri za mwenza wake kwa wakati ule kama yupo masomoni, au kazini nadhani itawasaidia sana
 
Je wale wanaoishi pamoja ila mapenzi hupungua utasema chanzo ni nini?
 
unajua nn kichwat?wazaz wangu wanamkubali sana huyu msicha!nimejaribu kuwaeleza mapungufu yake hawanielewi!

kosa kubwa unalolifanya ni kusema 'wazazi wanamkubali'. Unless you're hiring a house girl for your parents. GROW UP!
 
by jingle:naamini kuwa mtu anapopenda na sio kutamani basi hupenda kweli!mchumba wangu anapokuwa college huwa anabadilika sana,majibu yake huwa yanakatisha tamaa,arudipo likizo ananiomba nimvumilie,ninapo hoji,anasema hata yeye hajui kwann inakuwa hivyo!nifanyeje jaman?nikibolonga kuchagua mchumba basi nitakuwa nimeharibu maisha yangu!nisaidien wana jamii!
Kivipi? Kwa upande wangu sidhani kama sababu ya yeye kuwa college ndio kiwe chanzo cha kubadili muelekeo wa mahusiano yenu kumbuka maisha ya college ni ya mpito tu, labda kuna sababu zingine.
 
Kinacho semekana hapo kupungua kwa upendo ni kweli kwa kiasi fulani but kitu kikubwa ni kuweka mazingira ya uhusiano wenu sawasawa,
mfano mzuri ni mawasiliano ya mara kwa mara na kila mmoja akatambua shuguri za mwenza wake kwa wakati ule kama yupo masomoni, au kazini nadhani itawasaidia sana

nikweli Autorun,nikweli mawasiliano nimuhim sana,nimejitahidi kufanya hivyo kwa asilimia 100 bila mafanikio!mbaya zaidi ananijibu shortcut then anakata sim!mimi ni muhitim wa chuo tayari nishaanza kazi ktk kampun ya mtu binafsi,pia huwa namuwezesha pale anapohitaji msaada wangu,matibabu na mahitaji mengind muhim!wazaz wangu wanamkubali sana huyu msichana bila kujali mapungufu aliyonayo ambayo nimewahi kuwambia.nifanyeje?
 
huyo tupa kule
 
by jingle:naamini kuwa mtu anapopenda na sio kutamani basi hupenda kweli!mchumba wangu anapokuwa college huwa anabadilika sana,majibu yake huwa yanakatisha tamaa,arudipo likizo ananiomba nimvumilie,ninapo hoji,anasema hata yeye hajui kwann inakuwa hivyo!nifanyeje jaman?nikibolonga kuchagua mchumba basi nitakuwa nimeharibu maisha yangu!nisaidien wana jamii!

mbona u-mwoga hivyo? (refer: utakuwa umeharibu maisha yako ....) is she the first? Asiyekuwepo machon na moyon hayupo, kuwa mbal smtms kunapunguza upendo na kuweka doubts/sintofaham nying kuhusu uaminif na mustakabal wa penzi hlo kwa wapendanao,lakin hayo yasikukatishe tamaa kama uko real uwe unamtembelea mara kwa mara na makesure mawasiliano kati yenu hayawi lege*2, otherwise itakula kwako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom