Long Distance Relationship: Raha, kero na jinsi ya kutunza mahusiano

Huwa haidumu pale ambapo wahusika wana material love (mapenzi kwa sababu ya vitu, na si upendo). Ndiyo maana mnapokuwa mbali, huvunjika kwa kuwa vitu vinavyowaunganisha havipatikani tena. Lakini kama kuna upendo wa kweli, hata mmoja wapo akifa, aliyebaki ataendelea kumuenzi na kumpenda japo kwa kutazama picha yake tu!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

kwa hiyo emotional love yaweza survive hata mkiwa mbali miaka nenda rudi mmetulia tu?
 
Huwa haidumu pale ambapo wahusika wana material love (mapenzi kwa sababu ya vitu, na si upendo). Ndiyo maana mnapokuwa mbali, huvunjika kwa kuwa vitu vinavyowaunganisha havipatikani tena. Lakini kama kuna upendo wa kweli, hata mmoja wapo akifa, aliyebaki ataendelea kumuenzi na kumpenda japo kwa kutazama picha yake tu!
Nimependa mawazo yako kwani kweli tupu!!
 
naona huyo hajanijibu wewe unaweza ka miaka nenda rudi mbali nampenzio bila kujali?
Sio bila kujali teacher,ila mnaweza kuwa mbali as long as it takes kutokana na sababu zilizopo,ila kama mahusiano yenu yametokana na vitu kama alivyosema mkuu hamtadumu!
 
chakula cha mapenzi ya dhati ni macho yaone umpendae, hisia zisikie aidha kwa kugusana onana ongea pia hata ua alizeti hufa huonapo mpenzi

wake jua hayupo tena bila kujali atarudi.
 
Romance,nakuhakikishia kuwa upendo wa kweli hauitaji kuona wala kugusa wala kusikia,kumbuka wapo wasiokuwa na uwezo wa kuona wala kusikia lakini wana upendo wa dhati pia,upendo ni jambo kubwa sana wala haliitaji msaada wa kitu chochote ili liwepo,linajisimamia lenyewe,kama unataka uone au uguse wewe haujui upendo wewe unataka kuwa na mtu kutokana na muonekano wake au mwili(sura,makalio,miguu,mavazi,rangi,elimu,fedha n.k)huko ni kutamani,upendo ukiujua hautakuwa na stress sijui kuchanganyikiwa,utakuwa mwenye furaha daima!
 
"Distance means so little when
avatar11417_25.gif
means so much. Whenever I start feeling sad,
...because I miss you, I remind myself how lucky I am to have someone so special to miss."
 
inategemea na watu wenyewe walioko kwenye hayo mahusiano, wengine mbona yanadumu
 
"Distance means so little when
avatar11417_25.gif
means so much. Whenever I start feeling sad,
...because I miss you, I remind myself how lucky I am to have someone so special to miss."

...........................Mbu nasoma katikati ya mistari ujue!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Back
Top Bottom