Loawasa chukua nchi uijenge Arusha

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
i mean kanda ya kaskazini na sehemu zote zenye vivutio vya utalii..hii sekta ndio inaongoza kwa kulipa taifa mapato...im not kidding..siongelei AR tu hata circuit ya kusini pia.tano
 
i mean kanda ya kaskazini na sehemu zote zenye vivutio vya utalii..hii sekta ndio inaongoza kwa kulipa taifa mapato...im not kidding..siongelei ar tu hata circuit ya kusini pia.tano
sahau na ushindwe kwa jina la bwana......
 
Si SAINT IVUGA ninaemjua mimi, hope kuna msela kaiba password yake na kuandika upupu huu. Kama ni wewe mwenyewe Ivuga basi ninawasiwasi na huenda yale mabilioni ya EL yamekufikia mtu mzima
 
Wewe kama umeonjeshwa viposho vya ufisadi vya kampeni kapige vijijini kwani humu JF watu wote wana uelewa wa kutosha, hutambadili mtu.
 
Back
Top Bottom