Liverpool vs Arsenal EPL 8/2/2014 Live Updates

cha nne icho... Asernal gaweni wachezaji mfunge club yenu!!
 
Kuna jamaa wamecheza kamari sijui nini kitafuata baada ya mechi kuisha! Liver 5 - Asernal 0
 
wajameni kitufe cha REPORT ABUSE kiko wapi mboni sikioni? naona Liver wanawaABUSE Arsenal, nataka niwa-report.
 
podoski kachukua ya giroud
risiscy kachukua ya ozil
hali mbaya jamani 5-0 ??
 
arsenal wanangojea mujiza wa simba kurudisha gori3 walizopgwa kipind chs kwanza!! je iz t possible??
 
Matokea haya ya leo kwa Liverpool ndio matokeo ya kesho hapa jiji la Arusha kati ya CCM na Chadema kata ya Sombetini! Yeriko Nyerere naomba LIKE yako!
 
Dakika ya 68 Asernal wanapata goli la kwanza - Liverpool 5 - Asernal 1
 
Leo ni leo wakulu! Arsenal atabaki kileleni?

UPDATES#

Liverpool. 5 Arsenal 1

Skrtel 1 dkk1.

Skrtel 2.dkk 10.

Starling 3 dkk 16.

Sturridge 4 dkk 19.

Starling 5 dkk 52.

Arteta 1 dkk 68


asenal vs livapul.PNG
 
Pamoja na majigambo yao yoote mwanzoni sasa Arsenal wameshalikimbia jamvi... doo poleni sana
 
Back
Top Bottom