Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 13,569
- 28,535
Yaani kwanza umeona hizo pesa wanazotaja kwa huyu dogo eti £90m+ sasa najiuliza kwa mpira gani mbona wa kawaida sana kuuzwa hio ela.Inanikumbusha kipindi cha VVD, Klopp hakumtaka beki mwingine wa kati zaidi yake. Akakubali kumsubiri mpaka msimu uliofuata. Ila january ikachangwa karata wakamleta and the defence problem solved.
Lets see kwa Belligham maana wengi wa english players kama homa za masaa.
Bora Kipara kajiongeza mapema sana kwa Kavin Phillips hakutaka mambo mengi...
Mkuu haya mambo ya kusubiri yanaweza kulipa ama ukajikuta umepigwa tazama Keita ilibidi kusubiri msimu mzima ndio aje Liverpool lakini tazama output yake na bei yake utaona RB walikwenda benki wanachekelea sana.
Kwa VVD sawa ni moja ya biashara murwa sana chini ya Klopp.
Sina imani na kabisa na huyo Bellingham. Nwa muda utasema.
Ingekua powa sana haya mambo ya kusibiri waachane nayo na watue mazima Chelsea kwa dogo Gallagher
YNWA