Liverpool ni truly a mid-table team. Mnakamia mechi vs timu kubwa mkicheza dhidi ya timu ndogo mnapotea kama meno ya kuku. What's going on?
tehteh na Arsenal ni timu inayofungwa na timu kubwa kubwa ushindi mpaka ikitane na timu ndogo ndogo au? Sasa tutaiitaje Arsenal?
 
tehteh na Arsenal ni timu inayofungwa na timu kubwa kubwa ushindi mpaka ikitane na timu ndogo ndogo au? Sasa tutaiitaje Arsenal?

Tehe tehe Arsenal timu kubwa kama TEMBO wakitereza mnasema wameanguka. Mkianguka nyinyi mnasema mmejikwaa. Game 8-10 tutajua sura ya ligi itakavyokuwa.
 
Liverpool ni truly a mid-table team. Mnakamia mechi vs timu kubwa mkicheza dhidi ya timu ndogo mnapotea kama meno ya kuku. What's going on?
tukumbuke LFC na Burnley hawakupotea walicheza mpira kila kitu sawa kasoro mabeki tu na ukitizama nani wanamfumo wakucheza mpira na kufungwa ni Arsenal so kama ulivyowahi kusema kila game inamfumo wake LFC lazima ielewe hivyo ukicheza piga juu rukia piga mtu bega lazima na wewe ufanye hivyohivyo. mpira wa asilimia 60 na kufungwa ni wa Arsenal. ndomana nachukia LFC ikitokea hivyo timu ndogo si za kuzarau kucheza pasi ni zakukimbiza.
 
Leo mlikuwa na possession ngapi na vs Burnley mlikuwa na ngapi? Sisi huwa tunatereza mara chache tunapokuwa na possession ya asilimia 60 ukilinganisha na Liverpool
 
No Comment to Officials! ila najua ingekuwa wengine maamuzi yangekubalika LFC YNWA! wasiwasi wangu Sturidge dk za mwisho transfer itakuja pesa ya yeye kuondoka. Klopp najua mtu wa hasira ajifunze mpira siku hizi na hawa Players unaumia Manager ila Players nao waache malalamiko wacheze mpira.
Inaonekana kuna tatizo kati ya Klopp na Sturidge
uploadfromtaptalk1472326023330.jpg

Sturidge baada ya game alikuwa anaongea na Rose kaziba mdomo ili asionekane anachoongea
 
Tulitakiwa tushinde jana. Tulicheza vizuri in overall. Sturridge alitakiwa aanze
At least sasa tutakuwa nyumbani kwenye game ijayo
 
Back
Top Bottom