Live updates: Taifa Stars Vs Gambia

Labda Stars itapiga goli la 2 kwenye dkk hizi za mwisho kama ilivyofanya mwaka ule kwa C.A.R
 
Ama kweli Afrika ya leo hakuna timu ndogo wala mechi rahisi. Hawa Wagambia walitoa droo na Morocco ..
 
Dk ya 84, matokeo ni:
Tanzania 2, Gambia 1
Bao la pili la Tanzania limefungwa na Erasto Nyoni kwa penati.
 
Back
Top Bottom