Live updates: Taifa Stars Vs Gambia

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Sep 7, 2011
3,295
2,500
Wanaspoti wenzangu

Siku na wakati ndio umewadia. wengine mmeshakata tiketi kwenda uwanja wa Taifa na wengine kwetu ni JF na kila kitu iko humu. Tuanze kupeana updates zote za mpambano huu kuanzia sasa hadi baada ya mechi.

Vikosi na taarifa zite tupeane kwa mapema na tuiombee timu yetu Taifa Stars walau tuone mwezi leo

Updates;
Kikosi Taifa Stars
Juma Kaseja, Shomari Kapombe,Amir Maftah,Kelvin Yondani,Erasto Nyoni, Mrisho Ngasa,Frank Domayo, John Bocco, Salum Abubakar, Mbwana Samata na Mwinyi Kazimoto

Dk 7. Taifa Stars 0 -Gambia 1 (M.Ceesay)
HT Results;

Taifa Stars 0 -Gambia 1

Other Matches. (HT)
Ethiopia 1 -Central Africa Rep. 0
Mozambique -Zimbabwe 0
Lesotho 0 -Sudan 0

Kipindi cha pili:

Dk 60: Taifa Stars 1 (Shomari Kapombe) -Gambia 1 (M.Ceesay)

Dk 84: Taifa Stars 2 (Erasto Nyoni -Gambia 1

FULL TIME:

Taifa Stars 2 -Gambia 1

Well done Boyz!

Other results; FULL TIME
Ethiopia 2 -Central Africa Rep. 0
Mozambique -Zimbabwe 0
Lesotho 0 -Sudan 0
 
Updates za muhimu zitapatikana wadau hata msihofu, Tayari ripota kwa kutumainiwa kabisa niko uwanjani.
 
Updates za muhimu zitapatikana wadau hata msihofu, Tayari ripota kwa kutumainiwa kabisa niko uwanjani.
Mkuu Masuke, vipi hali ya uwanja na jiji kwa ujumla? Kama kuna kijimvua basi tutashinda mkuu! lakini ni kavu kavu tumeliwa.
 
Wanaspoti wenzangu

Siku na wakati ndio umewadia. wengine mmeshakata tiketi kwenda uwanja wa Taifa na wengine kwetu ni JF na kila kitu iko humu. Tuanze kupeana updates zote za mpambano huu kuanzia sasa hadi baada ya mechi.

Vikosi na taarifa zite tupeane kwa mapema na tuiombee timu yetu Taifa Stars walau tuone mwezi leo

Naomba kueleweshwa, hivi ukiombea timu ya mpira ili ifanye vizuri, unatakiwa uombe kwa nani? Kwa Mungu wa mbinguni au kwa Shetani? maana mpira mwanzilishi wake ni shetani, na Mungu anajihusisha na kumkomboa mwanadamu toka mikono ya Shetani.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Mkuu Masuke, vipi hali ya uwanja na jiji kwa ujumla? Kama kuna kijimvua basi tutashinda mkuu! lakini ni kavu kavu tumeliwa.
Jiji mkuu ni kavu kabisa lakini joto si kubwa sana, hali ya hewa ni nzuri na vikosi ndo vinatoka vyumbani sasa huku brass band ya polisi ikijiandaa kupiga nyimbo za Taifa.

Vikosi sijapata bado lakini golini lazima atakuwa Kaseja na Mbwana Samata na Bocco wanaweza wakaanza nafasi ya ushambuliaji, huku Mwinyi Kazimoto akiwa kiungo namba nane.
 
Naomba kueleweshwa, hivi ukiombea timu ya mpira ili ifanye vizuri, unatakiwa uombe kwa nani? Kwa Mungu wa mbinguni au kwa Shetani? maana mpira mwanzilishi wake ni shetani, na Mungu anajihusisha na kumkomboa mwanadamu toka mikono ya Shetani.
The unseen is illustrated by the seen.

kwl kabisa kwa wanaojua historia ya mpira basi tunakubaliana kuwa shetani ana mkono mkubwa sana.
 
Mashabiki si wengi sana labda huenda wakaongezeka kadri muda unavyosogea.
 
Jiji mkuu ni kavu kabisa lakini joto si kubwa sana, hali ya hewa ni nzuri na vikosi ndo vinatoka vyumbani sasa huku brass band ya polisi ikijiandaa kupiga nyimbo za Taifa.

Vikosi sijapata bado lakini golini lazima atakuwa Kaseja na Mbwana Samata na Bocco wanaweza wakaanza nafasi ya ushambuliaji, huku Mwinyi Kazimoto akiwa kiungo namba nane.
Masuke Boban vipi anaonekana hapo mkuu? ilisaiwa ataanza pia
 
Last edited by a moderator:
Kikosi ni :Juma Kaseja, Shomari Kapombe,Amir Maftah,Kelvin Yondani,Erasto Nyoni, Mrisho Ngasa,Frank Domayo, John Bocco, Salum Abubakar, Mbwana Samata na Mwinyi Kazimoto. Nimeandika tu bila kufuata mtiririko wa nafasi zao uwanjani.
 
Samahani watamaji wetu,Kuna mtu ameiba kuiba Transmitter hapa uwanjani,tunafanya juhudi za kurudi uwanjani kwa kuna ya ziada,juhuhudi zinafanywa na mafundi mitambo.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom