Live updates: Taifa Stars Vs Gambia

Hivi kuna mdhamini anayeweza kutupa pesa yake adhamini mchezo kupitia TBC kweli?
 
Kuna mtangazaji anataja vikosi yaani hata haeleweki anataja ambao hawachezi halafu wanaocheza hawatajwi sijui wamepewa list nyingine na kocha akabadili kikosi ghafla.
 
Vikosi (Kwa mujibu wa FIFA)
Tanzania
Mchezaji
Tukio
J. Kaseja
E. Nyoni
Goli dk 84
K. Yondani
A. Maftah
S. Kapombe
Goli dk.60
M. Ngassa
S. Nditi
H. Moshi
katoka kaingia Boko
M. Kazimoto
M. Samata
F. Domayo
Kocha: K. Poulsen

Gambia
Mchezaji
Tukio
C. Allen
K. Ceesay
A. Jammeh
Njano dk.36
O. Koli
M. Danso
P. Jagne
P. Kujabi
S. Gassama
M. Saine
M. Jarju
M. Ceesay
goli dk. ya 7, katoka, kaingia Sowe
Kocha: L. Mancini




Wachezaji wa akiba
Tanzania

Gambia
Mchezaji
Tukio
A. Sowe
Kaingia badala ya Ceesay
B. Sanyang
D. Savage
L. Samateh
S. Faal
S. Marreh




Waamuzi
Refa:
R. Ruzive
Wasaidizi:
S. Ncube
E. Rumeck
Kamisaa:
N. Matemera
 
Mi nimechoka hata kufuatilia mpira wa kibongo yaani unaboa sana bora kupenda taarabu kuliko soka la bongo, inauma sana aiseeee.
 
Si tulifurahia kuondoka kwa Maximo, tusiseme mengi tusubili kipenga cha mwisho. Ila sasa ndo mtajua ni kwa nini alikuwa hamtaki Kaseja
 
Mi nimechoka hata kufuatilia mpira wa kibongo yaani unaboa sana bora kupenda taarabu kuliko soka la bongo, inauma sana aiseeee.
Tatizo mnataka mafnikio bila kurudi kwenye drawing board! juzi juzi tulirudi kwenye hiyo stage lakini sijui tumeishia wapi! Huwezi kucheza mpira wa miguu siku hizi na bangi kichwani, hirizi bila mazoezi na maandalizi ya kutosha. Watu wanaokimbia umande ndiyo wacheza zoka bongo!! Tutaendelea kulalamika kama vyura wa masika!
 
Si tulifurahia kuondoka kwa Maximo, tusiseme mengi tusubili kipenga cha mwisho. Ila sasa ndo mtajua ni kwa nini alikuwa hamtaki Kaseja
Mboga za Iringa mbaya sana, wewe badala ya kula utakuwa unavuta moshi wake, kwa hiyo Maximo wako na kina Ivo walikuwa hawafungwi.
 
Dah nimechelewa wakuu uwanjani hapa wa Jamiiforum kumbe tayari tushakula kimoja Aibu hii hata Gambia? ningekuwepo ni bakora leo tukifungwa tutaanza kuchapana humuhumu.
 
Back
Top Bottom