Live TV channels via internet free na bure bila chenga wala virus

Vipi Makato Yake Ya Internet Bundles...

Nikiwa 1GB Natumia Kwa Masaa Mangap?
 
Kwa wanaJF walio mbali na DSTV, Canal digital, Easy TV au Star Times wanaweza kuangalia LIVE Tv zaidi ya 100 bure bila hata ya kudownload kupitia mtandao wa STREAMIC.COM, just click na select channel unazotaka kama za NEWS, SPORTS, MOVIES, EDUCATION CHANNELS na nyinginezo,

Nadhani kwa wabeba boksi na ambao mpo home wekends basi kazi kwenu, sijawa mchoyo kuwajuza. Kwa bahati mbaya za kibongo hakuna ila kwa wanaopenda kuangalia pia za kenya nenda google andika WATCHLIVEKENYANTV, au WATCHLIVETVONLINE.WEBS.COM.

Weekend njema.

Be blessed mkuu. Have always wanted this.
 
nenda moja kwa moja www.kenyamoja.com for all kenyan radio and tv stations
 
Back
Top Bottom