Live Kutoka Karimjee Hall: Kumuaga Bob Makani

Mbona hata msiba wa Kanumba hao wote walikuwepo...iwe nyumbani kwake au pale kwenye viwanja vya Lidaz....so what's the big deal Pasco?
No big deal!. Shughuli ni watu na watu wenyewe ndio sisi!. Watu wanapokuwa high profile, ni uthibitisho Bob Makani alikuwa ni mtu wa watu na ni watu hao hao wamejitoa kumsindikiza safari yake ya mwisho!. Very gratifying!.

Hapo wala sijataja majina hadi wale wazeiye wa Kanda ya
Ziwa walikuwepo na vijana wa Upanga na Upanga yao!.
 
Mkuu Birigita, uwe mtu wa shukrani, yaani appreciation, shukuru kwa madogo ili ufunguliwe makubwa!.

Mimi nakueleza JK amejitolea PA ya Ikulu kwenye msiba wa muasisi wa Chadema, wewe badala ya kushukuru unajibu "too cheap!". Kiukweli its not too cheap!, its free kabisa!. Unadhani Chadema wamelipia Ikulu ili waletewe expensive PA hii iliyokuja ndio too cheap?!, au too cheap yako wewe ni ya nini?!.
Pasco, uwe unashirikisha ubongo wako unapo andika acha hisia zako pembeni! kwani marehemu hakuwahi kulitumikia taifa hili tena katika nyadhifa nyeti?unawezaje kusema JK amejitolea PA ya Ikulu? labda ungesema JK amejitolea PA ya Msoga hapo inge 'sound' kama 'favour'. Kwa hiyo unamuona Makani kama wa CHADEMA na sio mtumishi aliyetukuka wa serikali!
 
Mkuu Birigita, uwe mtu wa shukrani, yaani appreciation, shukuru kwa madogo ili ufunguliwe makubwa!.

Mimi nakueleza JK amejitolea PA ya Ikulu kwenye msiba wa muasisi wa Chadema, wewe badala ya kushukuru unajibu "too cheap!". Kiukweli its not too cheap!, its free kabisa!. Unadhani Chadema wamelipia Ikulu ili waletewe expensive PA hii iliyokuja ndio too cheap?!, au too cheap yako wewe ni ya nini?!.

Mkuu Bigirita amekuelewa vizuri, na hata mimi nimekuelewa kuwa tatizo lako unashukuru sana hata kwa mambo yasiyostahili, hasa wale watu wako unaowalamba viatu unawashukuru tu! Pasco
 
... pia ni JK ndiye aliyetoa PA inayotumika hapa!.
Kitendo cha heshima za mwisho za Kiongozi na muasisi wa Chadema kuagwa kwa kutumia PA ya Mwenyekiti wa CCM ni kitendo cha uthibitisho wa baadhi ya mazuri ya Kikwete!..
Mkuu Pasco, sikutegemea kama utaandika hivyo. Mimi hapa mtaani suala la ufuasi wa wa mtu wa chama fulani cha siasa huwa nalijua kipindi cha uchaguzi tu, na mtu akifiwa huwa hatuna hata chembe ya mawazo kwamba yeye ni chama gani. Nimeshtuka kuona ukiandika kwamba Public Addressing System (PA) inayotumika kwenye msiba huo (wa CDM) ni mali ya mwenyekiti wa CCM! Kuna ajabu gani hapo hadi uandike? Mbona mimi huwa natoa maturubai yangu au umeme wangu kwenye misiba ya wasio na vitu hivyo bila kujali vyama vyao vya siasa? Sijawahi kufikiria kama kuna mtu atakuja kutokea na hoja ya kisiasa kwenye msiba wa jirani! Pole sana Pasco, maybe JK alikushinda tender mliyo.bid wote katika kutoa huduma ya PA, lakini naona kama vile unamchafua JK hapa!
 
Mkuu Birigita, uwe mtu wa shukrani, yaani appreciation, shukuru kwa madogo ili ufunguliwe makubwa!.

Mimi nakueleza JK amejitolea PA ya Ikulu kwenye msiba wa muasisi wa Chadema, wewe badala ya kushukuru unajibu "too cheap!". Kiukweli its not too cheap!, its free kabisa!. Unadhani Chadema wamelipia Ikulu ili waletewe expensive PA hii iliyokuja ndio too cheap?!, au too cheap yako wewe ni ya nini?!.

Bob Makani kabla ya CDM na vyama vingi alishika nafasi kubwa sana serikalini, hata kama angeamua kutokuwa na chama cha siasa bado lilikuwa ni jukumu la serikali kuwepo msibani.
 
Nimipenda hii!
Picha kwa hisani ya Mjengwa Blog

SAM_2520.JPG
 
Heshima za Bob Makani zimeattract very high profile attendence,
1. Rais wa nchi
2. Makamo wa rais
3. Makamo wa SUK -ZNZ,
4. Mawaziri,
5. Wabunge
6. Wakuu wa vyama na wanasiasa.
7. Wafanya biashara wakubwa mashuhuri!.
8. Viongozi wakuu wa kitaifa wastaafu.
9. Wakuu wa taasisi mbalimbali
10. Wananchi wa kawaida akina sisi na wewe !.

RIP Bob Makani.

Acha kupotosha, hata yeye Bob Makani alikuwa high profile serikalini aliyewahi kushika position kubwa katika taifa hili, anastahili zaidi ya hivyo.
 
JK ni mtu wa watu na ni mtu mwenye huruma sana na anaejali sana!. Ukiondoa udhaifu wake as weak president, kwenye PR ni 100%!.

Kuwa wakati tuliweka mjadala humu tusipoliticise misiba, msibani ni mahali pa maombolezo lakini kwa sababu wanene wote walikuwepo, mkuu wa nchi na top brass ya wajumbe wa tume ya kukusanya maoni, Mk wa Cdm Mhe. Freeman Mbowe, saw an apportunity na akaigrab kufikisha ujumbe mzito loud and clear!.

JK alipopata nafasi ya kuzungumza, yeye alitoa tuu pole!. No politics!. Ule ni ustaarabu mkubwa sana na kama kawaida JK hakuacha kutumia his good sense of humour kuhakikisha watu wanacheka just to put them at easy na msiba mkubwa huu!.

Pasco,
Ulitegemea Rais aongee nini pale wakati propaganda yote ya kisiasa Mukama alikuwa ameshaongea! Rais ametumia hekima sana pale kwanza alishaona Katibu wake amemuangusha kwa kuongea uongo hadharani, na bahati nzuri uongo wake haukufichwa ukasemwa wazi wazi na Mh. Mbowe!
 
Mkuu Birigita, uwe mtu wa shukrani, yaani appreciation, shukuru kwa madogo ili ufunguliwe makubwa!.

Mimi nakueleza JK amejitolea PA ya Ikulu kwenye msiba wa muasisi wa Chadema, wewe badala ya kushukuru unajibu "too cheap!". Kiukweli its not too cheap!, its free kabisa!. Unadhani Chadema wamelipia Ikulu ili waletewe expensive PA hii iliyokuja ndio too cheap?!, au too cheap yako wewe ni ya nini?!.

hilarious. blimey!
 
Acha kupotosha, hata yeye Bob Makani alikuwa high profile serikalini aliyewahi kushika position kubwa katika taifa hili, anastahili zaidi ya hivyo.

Kweli kabisa, Mzee Bob Makani alishawahi kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania. Pasco anapotosha

quote_icon.png
By Pasco

Heshima za Bob Makani zimeattract very high profile attendence,
1. Rais wa nchi
2. Makamo wa rais
3. Makamo wa SUK -ZNZ,
4. Mawaziri,
5. Wabunge
6. Wakuu wa vyama na wanasiasa.
7. Wafanya biashara wakubwa mashuhuri!.
8. Viongozi wakuu wa kitaifa wastaafu.
9. Wakuu wa taasisi mbalimbali
10. Wananchi wa kawaida akina sisi na wewe !.

RIP Bob Makani.
 
Last edited by a moderator:
JK ni mtu wa watu na ni mtu mwenye huruma sana na anaejali sana!. Ukiondoa udhaifu wake as weak president, kwenye PR ni 100%!.

Kuwa wakati tuliweka mjadala humu tusipoliticise misiba, msibani ni mahali pa maombolezo lakini kwa sababu wanene wote walikuwepo, mkuu wa nchi na top brass ya wajumbe wa tume ya kukusanya maoni, Mk wa Cdm Mhe. Freeman Mbowe, saw an apportunity na akaigrab kufikisha ujumbe mzito loud and clear!.

JK alipopata nafasi ya kuzungumza, yeye alitoa tuu pole!. No politics!. Ule ni ustaarabu mkubwa sana na kama kawaida JK hakuacha kutumia his good sense of humour kuhakikisha watu wanacheka just to put them at easy na msiba mkubwa huu!.

.........................
Tatizo lako ulidhani JK ni mjinga kabisa! .......sawa ni raisi dhaifu lakini siyo kwamba ni mbumbumbu kabisa, amezaliwa

na ameishi Bongo!

........na ni jambo la kawaida kabisa kukuta kuwa aliwahi/alikuwa na urafiki mzuri tu na Bob pamoja na familia yake!!

Sasa sie waswahili tunadhani JK na kina CDM hawajuani kabisa!

HABARI NDIYO HIYO!
 
Huu ushamba wa kuwacha lebo ya suti mkonini nimeuona sana Tanzania, jamani hizo hun'golewa kabla ya suti kuvaliwa, hebu wacheni ushamba.
 
ifike wakati tuambizane ukweli,wana chadema kumsifia makani ni unafiki na uzandiki mkubwa,makani alitelekezwa na chama licha ya kukifanyia mazuri chama.chadema ni wabaguzi na ni wanafiki tu,huyu bwana angekuwa mchaga chadema ingemtelekeza? Chadema ina wenyewe na wenyewe ni wachaga ndio wanaokifaidi chama.Msukuma huyu jaman alitelekezwa licha ya kujitoa kutumikia chama,bora chadema kife maana tunakoelekea kubaya,Rwanda ya 1994 itakuwa cha mtoto,ni ubaguz na ukabila wa wazi wazi kabisa.
Hivi unaweza kuniambia kwa moyo wa ukweli kabisa kuwa Mzee Mtei leo analipwa kitu gani na Chadema? Isingekuwa shamba lake la kahawa na ufugaji nina hakika mngekuja baadaye hapa kudai kuwa Chadema kilimtelekeza Mzee Mtei.
Chadema bado ni chama kichanga sidhani hiyo ruzuku wanayoipata ingeweza kutosha kuweka fungu la "kuwambukuka waanzilishi." Tuwe wakweli.
 
Mkuu Birigita, uwe mtu wa shukrani, yaani appreciation, shukuru kwa madogo ili ufunguliwe makubwa!.

Mimi nakueleza JK amejitolea PA ya Ikulu kwenye msiba wa muasisi wa Chadema, wewe badala ya kushukuru unajibu "too cheap!". Kiukweli its not too cheap!, its free kabisa!. Unadhani Chadema wamelipia Ikulu ili waletewe expensive PA hii iliyokuja ndio too cheap?!, au too cheap yako wewe ni ya nini?!.

Hiyo PA siyo big deal kabisa, tena msibani PA system ya nini??....FYI na wengine hiyo System ni ya National Museum na mara nyingi watu wa Karimjee Hall wamekuwa wakiazima kutoka National Museum..though sioni matumizi yake fully.
 
ifike wakati tuambizane ukweli,wana chadema kumsifia makani ni unafiki na uzandiki mkubwa,makani alitelekezwa na chama licha ya kukifanyia mazuri chama.chadema ni wabaguzi na ni wanafiki tu,huyu bwana angekuwa mchaga chadema ingemtelekeza? Chadema ina wenyewe na wenyewe ni wachaga ndio wanaokifaidi chama.Msukuma huyu jaman alitelekezwa licha ya kujitoa kutumikia chama,bora chadema kife maana tunakoelekea kubaya,Rwanda ya 1994 itakuwa cha mtoto,ni ubaguz na ukabila wa wazi wazi kabisa.

Kaka wachaga wamekukosea nini? Mbona unaonekana unawachukia sana. Au ni siasa za maji taka zinakusababisha uongee haya. Pole mkuu ila badilika,
 
Back
Top Bottom