Live Kutoka Karimjee Hall: Kumuaga Bob Makani

Too cheap.:A S thumbs_down::A S thumbs_down:

Mkuu Birigita, uwe mtu wa shukrani, yaani appreciation, shukuru kwa madogo ili ufunguliwe makubwa!.

Mimi nakueleza JK amejitolea PA ya Ikulu kwenye msiba wa muasisi wa Chadema, wewe badala ya kushukuru unajibu "too cheap!". Kiukweli its not too cheap!, its free kabisa!. Unadhani Chadema wamelipia Ikulu ili waletewe expensive PA hii iliyokuja ndio too cheap?!, au too cheap yako wewe ni ya nini?!.
 
PA ndiyo nini? Public address 'system' au?
 
Huu ndio unafiki unaonipa kichefu chefu.
Jana nilianzisha sredi jinsi CDM ilivomsahau mzee Makani kiasi hata cha kulitelekeza gari lake pale nyumbani kwake likiwa na pancha.
JF Mods wameitoa sredi hiyo.
Leo mnamsifia na kumuenzi kwa maneno matupu, huu ni ulaghai mkubwa usio na kifani.

ifike wakati tuambizane ukweli,wana chadema kumsifia makani ni unafiki na uzandiki mkubwa,makani alitelekezwa na chama licha ya kukifanyia mazuri chama.chadema ni wabaguzi na ni wanafiki tu,huyu bwana angekuwa mchaga chadema ingemtelekeza? Chadema ina wenyewe na wenyewe ni wachaga ndio wanaokifaidi chama.Msukuma huyu jaman alitelekezwa licha ya kujitoa kutumikia chama,bora chadema kife maana tunakoelekea kubaya,Rwanda ya 1994 itakuwa cha mtoto,ni ubaguz na ukabila wa wazi wazi kabisa.
 
...Sasa wewe umekomalia mambo ya PA ya ikulu, sijui shukran ect kwani aliombwa au umeambiwa hao hawakuwa na pesa za kutafuta PA system nyingine ? Mwishowe utasema tushukuru na makapeti, umeme, n.k
BTW ww ndo umeibeba hiyo PA from Ikulu tu hapo au ?

I totally agree, that is too cheap ! Same as ku just gusa jeneza ili tena muanze kusema ni mtu wa watu wakati wengine wanajua ni misifa tuu !!!
 
Kwa hiyo jamaa kamaanisha public address system?
 
Heshima za Bob Makani zimeattract very high profile attendence,
1. Rais wa nchi
2. Makamo wa rais
3. Makamo wa SUK -ZNZ,
4. Mawaziri,
5. Wabunge
6. Wakuu wa vyama na wanasiasa.
7. Wafanya biashara wakubwa mashuhuri!.
8. Viongozi wakuu wa kitaifa wastaafu.
9. Wakuu wa taasisi mbalimbali
10. Wananchi wa kawaida akina sisi na wewe !.

RIP Bob Makani.
 
Back
Top Bottom