Live bila Zengwe

naona unataka kuungana na jerry murooooo

Kuna yule member anaitwa Inkoz, (sorry kama nimekosea jina) ambaye huwa anapiga tizi kama wewe, siku mkikutana itakuwa patashika nguo kuchanika.....chakachua nikuchakachuwe.....ha ha ha ha !!!
 
attachment.php

kha! mwema yuko huku natumaini ameiona hii na kwa jinsi navyomfahamu lazima amtafute
 
kuna siku nilisafiri kwenda Mafinga na hizi gari zinazo toka bandarini huwa na # IT******* kwa kawaida huwa haziruhusiwi kubeba abiri wala mizingo lakini huwa zina beba sasa kimbembe ni njiani kuna wakati polisi anachukua mpaka 500 na huwa wana patana kabisa utasikia polisi akimwambia dereva ongeza bwana hii kidogo sana, dereva nae si unajua mko wengi....hii nchi sijui kama tutafika
 
Mheshimiwa hiyo avatar yako imenifurahisha sana.

mbona serikali kuu yenyewe inafanya hivyo hivyo, kina jk wenyewe ndio dili zao hizo ijekuwa huyu traffic police?

ndio issue kama za dowans zinakuwa ni ngumu kizisolve manake presida alishafanya kama huyo traffic kwenye hilo dili
 
Back
Top Bottom