Kinumbo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 2,742
- 4,932
Eti wakuu nikiweka lita 1 ya petroli kwenye pikipiki itaisha kwa kwenda umbali wa kilomita ngapi? Nataka nijue ili nijilipue.
Nataka nitoke na pikipiki kutoka Dar es Salaam mpaka Mwanza. Dar es Salaam kwenda Mwanza ni kilomita 1,141 sasa nataka nijue nitatumia lita ngapi mpaka nafika.
Wakuu niko serious kabisa, naombeni na ushauri.