Listi ya Mikoa na Wilaya zote

Einstein

Senior Member
Dec 5, 2009
121
26
Habari wana JF?

Naomba msaada wa kupata listi za mikoa yote ya Tanzania na wilaya zake zote.. Mwenye linki inayoweza kunipeleka huko anisaidie,au kama kuna mahali anaweza copy and paste..

Naihitaji sana, kuna application flani natengeneza..

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom