Naomba kuelimishwa kuhusu kazi zote katika usimamizi wa karasha la kuponda mawe ya dhahabu na process zote za ku-make pesa

Jan 26, 2019
67
86
Habari wana JF wenzangu,

Jamani mimi mwenzenu mm ni kijana nimebahatika kupata elimu ya kidato cha sita. Na hapa sasa mzee wangu kaamua kunipeleka kwenye machimbo ya dhahabu kufanya kazi ya kusimamia karasha na kununua dhahabu kwa wachimbaji wadogo wadogo na ukiangalia mimi hapa ni mgeni na sijui lolote kuhusu majukumu ya hii kazi na hata jinsi inavo make pesa ningeomba au nilikuwa naomba kuelimishwa au ushauri wenu kama msaada jamani.
 
Mwambie mzee akupeleke kujifunza kwa wenye karasha wengine ukaone inavofaya kazi hata miez 2. Hiyo sio maalifa lele mama kama kutengeneza juisi ya embe kama anataka ufanikiwe kweli kwa umri wako mdogo alitakiwa uanzie darasana ukasome hata course pale Kunduchi upate ABC hata ya walau yabtechnics for gold identification and valuation, kisha usome gold processing kisha upelekwe mgodi unaofanya kazi kuanzia uchimbaji hata ufanye miez 2. Hapo utafanikiwa .ila hapa utapotezewa muda huwezi jua siri za madini mtandaoni.
 
Mwambie mzee akupeleke kujifunza kwa wenye karasha wengine ukaone inavofaya kazi hata miez 2 .hiyo sio maalifa lele mama kama kutengeneza juisi ya embe kama anataka ufanikiwe kweli kwa umri wako mdogo alitakiwa uanzie darasana ukasome hatacorse pale kunduchi .upate ABC hata ya walau yabtechnics for gold identification and valuation.kisha usome gold processing .Kisha upelekwe mgodi unaofanya kazi kuanzia uchimbaji hata ufanye miez 2 .hapo utafanikiwa .ila hapa utapotezewa muda huwezi jua siri za madini mtandaoni
Nashukuru sana lakin sasa yy ndo amesha nunua karasha na generator na pia anataka aniweke nisimamie
 
Mwambie mzee akupeleke kujifunza kwa wenye karasha wengine ukaone inavofaya kazi hata miez 2. Hiyo sio maalifa lele mama kama kutengeneza juisi ya embe kama anataka ufanikiwe kweli kwa umri wako mdogo alitakiwa uanzie darasana ukasome hata course pale Kunduchi upate ABC hata ya walau yabtechnics for gold identification and valuation, kisha usome gold processing kisha upelekwe mgodi unaofanya kazi kuanzia uchimbaji hata ufanye miez 2. Hapo utafanikiwa .ila hapa utapotezewa muda huwezi jua siri za madini mtandaoni.

Hapo Kunduchi ni chuo/college?

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom