List ya Waliomwagwa Uwaziri+Unaibu

Mpaka tubadilishe mfumo mzima wa utawala na katiba hakuna kitakachobadilika juu ya uwajibikaji.
 
nyota ya Nundu imezimika kwa kasi ya ajabu,huyu mzee ukisoma cv yake utaogopa sijui pepo hili limemtokea wapi,Tanga mnagundu kweli.Mtoa msomi mwenye CV International,ameishia kwenye fedhea ya ubadhirifu.Arudi ulaya sasa,hehehehehehe JK nomaame mTIDO kudadeki.
 
Maige Atamaliziaje ule mkopo wa CRDB?
Apitishe michango kama mrema.

Hahaaaaaa ataulipa tu maana ana miradi mingi sana katuibia sana huyu mtu,kwa taarifa kutoka kwa watu wa crdb wanasema jamaa anahaa kufoji docs hili aonyeshe mikopo aliyochukua.
 
Mimi napata shida sana kuona watu wanajenga hoja katika msingi wa tumaini mfu liitwalo CCM (muda huu Kikwete). Angalia hilo baraza "lililosukwa" kama sio aibu nyingine katika hii episode ya aibu ni nini?

I'm not negative, am just honest and direct.
mkuu ni lini CCM imepata kuwa nzuri? sijawahi kuona ccm ikiwa nzuri toka imezaliwa!! CCM niijuayo ndiyo iliyoifilisi nchi kwani Iliwafikisha watanzania wakati mgumu kabisa, kula ilikuwa ya tabu kulala kwa shida. nyimbo za msondo, urafiki, dar international, mwenge jazz, vijana jazz, jkt mafinga ndizo zilibaki kuwapumbaza watanzania na dhiki zao wakaishi kwa matumaini... nakumbuka wakati mmoja bendi moja ilikwenda kupiga mziki wake diamond jubilee watu walikimbizana baada ya kutoka panya kwenye solo gitaa. na hao hao wapiga magita wa enzi hizo hata leo wako na wako CCM ekh jamani hivi aliyeturoga watanzania ni nani??
 
Jamaa nilijua ni mchapakazi kweli maana kila akienda kukagua shule lazima haikatae kumbe ni fisadi tu kelele nyingi kwenye TV kumbe ufanyaji kazi zero.
mwanri amebakia na nafasi yake ile ile,soma vizuri mkuu kabla haujamwaga critics zako...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom