ukara
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 285
- 168
Tatizo fisadi huyu anataka nafasi ya juu kabisa ya kimamuuzi na katika list ya hao mafisadi wenzie karibia 90% ni marafiki zake,, na kuna wengine ambao hawako kwenye hiyo list nao ni wafuasi wake,,, mbaya zaidi CDM walisema wanao ushahidi na ndesamburo kwenye bunge akadiriki kusema watu kama hawa China hunyongwa...sisi hatukujua kama kuna list ya mafisadi 10 ila ni CDM ndio walituambia na tutakubali tu kama huyo si fisadi kama mtaita mkutano wa hadhara na kutuambia jamani ile list ya watu kumi kuanzia leo mafisadi ila tuliwasingizia tu****
Kiri kwamba kuna fisadi mwingine nyangumi aliyekuwa anasimamia mchakato wa kumpata mpeperusha bendera ya Mafisadi wengine 10 waliobaki CCM. Tunataka na wao muwanyoshee kidole kama mnavyomnyooshea EL.