Mussa Mussa
Senior Member
- Jan 10, 2012
- 138
- 42
Wakiwafukuza tena watakuja Arusha na Singida. Kwa kuwa Bi. kidude najua kama hajajifunza atawafukuza tena
Huyo Wenje uzi aliotundikwa na Mbunge wa Magomeni (CCM) Mahammud Chomboh keshamaliza kuushonea?Mbona unatokwa povu makalioni?! Ratiba ya mikutano ya CDM inakuhusu nini?Tulieni mtungwe uzi,nyie endeleeni kupoteza rasilimali fedha na muda kutengeneza uzushi wanaume waendelee kutangaza ukombozi,no time 2 waste
Huwezi ukafanya research watu wanavyoidharau cdm kwasasa?
Endelea na matumaini ya Mshumaa.
Wangeenda kushinda kwa nchemba siku zote hizo tano. M4C kwa kwenda mbele.