Lissu, Wenje, Sugu, Msigwa, Kiwia kuunguruma Mwanza, Iringa na Mbeya (soma ratiba)

Wakiwafukuza tena watakuja Arusha na Singida. Kwa kuwa Bi. kidude najua kama hajajifunza atawafukuza tena
 
Mabaunce wanakuja kuonyesha shoo cyo, tuliona treilla kdg bungeni kweli wakichukua msitegemee utawala wa sheria tena maana kama wameshindwa kuvumulia ya bungeni watanvumilia mtuu tuu. Changanyeni akili hawa c wema.mta koma na kukomaa.
 
Mbona unatokwa povu makalioni?! Ratiba ya mikutano ya CDM inakuhusu nini?Tulieni mtungwe uzi,nyie endeleeni kupoteza rasilimali fedha na muda kutengeneza uzushi wanaume waendelee kutangaza ukombozi,no time 2 waste
Huyo Wenje uzi aliotundikwa na Mbunge wa Magomeni (CCM) Mahammud Chomboh keshamaliza kuushonea?
Nyie mnajipangia Ratiba kwa vile hawatakiwi kuingia Bungeni ndio mnavungia hapo, sasa ngojeni mkose watu km Dodoma ndio mtakapoliona giza linawanyemelea.
Watu wanaanza kuchoka kero na maneno yasiyo na busara ambayo ni ya kitoto kwa nini wasitulie km kina Zitto, Mdee Mnyika au Nassari?

 
Siku zote inategemea ni jinsi gani tunavyoona vitu. Mfano, wewe unaweza kuona mawe ni uchafu kwako na kuyatupa, mimi nikayaona kama material imara ya kujengea msingi wa nyumba yangu. CCM wameona wamewakomoa kwa kuwato nje maana kikubwa ni kwamba watakosa posho zao. Lakini kwa CDM, huo ni mtaji muhimu wa muda, ambao watautumia kujijenga zaidi
 
Nikatika uwanja wa shule ya msingi Mbugani kesho kuanzia saa 9 mchana hapa jijini Mwanza,nitakuwepo na nitatoa live updates bila chenga
 
Huwezi ukafanya research watu wanavyoidharau cdm kwasasa?
Endelea na matumaini ya Mshumaa.

Duu mkuu CHUKI we research yako sample size ilikuwa kiasi gani? make unavo amini watu wanaidharau ... watu wangapi? make naamini hata ndani ya familia yako kuna watu zaidi ya mmoja, usijekuta ndo sample size yako lol!
Kwa taarifa neno kuu mtaani ni CHADEMA tumaini pekee kwa walala hoi. Umeshuhudia nyomi leo la uzinduzi wa kanda ya kati? kaa tayari mkuu wangu....
 
Wangeenda kushinda kwa nchemba siku zote hizo tano. M4C kwa kwenda mbele.
 
Tuko pamoja makamanda wetu, ila makamanda wetu siyo siki kigoma mmepasahau. Kila siku tunasikia ratiba ya mikoa mingine.RAI wanakigoma wanawahitaji
 
Cdm bado inapendwa tuache ubishi. Ninasema hivo kutokana na watu waliojitokeza katika mkutano uliofanyika hapa tabora mjini, baadhi ya washabiki nilioongea nao wamesema hata kama ccm ifanyeje wao wameshafunga ndoa na cdm, wamechoshwa mkoa wao kuwa kisiwa.
 
Kuna m2 anatumia cjui anaitwa chuki, ndio nan ktk chama cha chichi em? Au dada ake na mwigulu nchemba kwani knowledge of thinking inafanana saaana na yule kilaza
 
wafike hata kule bumbuli, mahezangulu, mashewa, huwa mgwashi nk ambako januari makamba anaabudiwa kama mungu hata wazee kufikia kuweka picha zake ukutani na kila mahala sababu ikiwa ni kutokombolewa wafike huko wakamwage unga tena wa ndele wenye kuamsha hisia na kutoa matongotongo
 
Back
Top Bottom