Lissu, Wenje, Sugu, Msigwa, Kiwia kuunguruma Mwanza, Iringa na Mbeya (soma ratiba)

Ukisikia hawa wanatajwa unawashwa kweli mdogo wangu,,,,siasa sio kazi kama ambavyo vilaza kama lukuvi na wassira na mzee wa msoga wanavofanya
Wewe ziriwani huna akili hata kidogo, wewe ni fisadi na mdini kama baba yako...ingekuwa wabunge wa chadema wanapata ubunge kwa rushwa ndio ungesema hivyo kuwa hawataingia mjengoni 2015.na wewe unafikiri utashinda ubunge wa chalinze 2015 au 2020? Hilo sahau....ingekuwa mimi ni wewe ninge elekeza nguvu kwenye biashara maana siasa baba yako ameshaharibu hakuna atakaye kupigia kura maana mtoto wa nyoka ni nyoka.shame on u
 
Bora wafanye mikutano yao ya mwisho mwisho maana mwaka 2015 hakuna atakayerudi bungeni.

Wewe ni kilaza kama baba yako..tulia wanaume , makamanda, mahemedari wapige kazi...muda wa baba yako unaelekea kwisha..huna dili vuvuzela tu wewe...unafikiri nchI niya kwenu? Ngedere wewe
 
CCM wanakazi kila siku watalala na viatu,

CHADEMA Wanapiga chenga zaidi ya Zidane! Ukuzuia bungeni hao Ikulu, Ukizuia Ikulu hao kwa Wananchi na Nguvu ya umma.

CHADEMA wanateleza zaidi ya kamabale.

Ngandema umenifurahisha kuwa chadema wanateleza zaidi ya kambale dah ccm watajuta,wataona bora wangebaki tu bungeni,
 
Maeneo yale yale hao wafuasi wenu mnawambia umbea sasa nendeni na maeneo mengine yani mbeya,mwanza,arusha na iringa!
 
mi nadhani ccm imefilisika kisera, MAKINDA NA NDUGAI angaliani, mtapigwa mawe huko mtaani kwa kubeba mzigo usiobebeka, wananchi wamechoka halafu nyie mnaendeleza ubabe usio na maana.
 
Sawa sawa, wanapaswa pia kwenda Mtwara, Ruvuma, Tanga na kwingineko muda ukiruhusu ambako magamba yamewekeza katika ujinga wa watz!!!!!!!
 
attachment.php
 
Duu Chuki, chuki zako zitakumaliza, wala usiandikie mate, ni keshokutwa tu wapo mzigoni subiri nyomi la kufa mtu, tena hawasombwi na marori!

Huwezi ukafanya research watu wanavyoidharau cdm kwasasa?
Endelea na matumaini ya Mshumaa.
 
Huwezi ukafanya research watu wanavyoidharau cdm kwasasa?
Endelea na matumaini ya Mshumaa.

mkuu umezipata habari za1. lushoto vijijini, na iringa vijijini, achilia mbali mtwara na lindi, au morogoro vijijini (mlimba, turiani, etc).... jitahidi kuwa na uhuruma kwa watz wenzako ambao 98% hawaujui milo 3. 2. unadhani kunasababu yoyote kwa 50 yrs tz kuendelea kutambulishwa kama nchi maskini duniani???? nakuwait unijibu hasa hilo swali la 2. au nawewe akili zako kama hawa
View attachment 90747View attachment 90748View attachment 90749View attachment 90750
 
Sasa jamani mnataka CCM wafanyeje make wamewatoa ndani eti mnawabana tena na nje mnaenda kuwabinya tena ..wahurumieni.
 
Back
Top Bottom