Lissu kumjibu Nape kesho

Jaji amesema mbona anayeshitakiwa ni Tume ya Uchaguzi na sio Kiwia? Jaji haoni kosa la Kiwia!!
 
Daaah, hawa jamaa wanatupenda sana watanzania. Kaona asiondoke jijini bila kuzungumza na wana Mwanza waliotukanwa kuwa watashikishwa ukuta na Nape. Kama magamba wangekuwa karibu hivi na watanzania mbona huu umaskini tungeridhika nao tu. Mh Lissu gombea urais wa Tanzania 2025 Dr Slaa akimaliza vipindi vyake viwili kwa mujibu wa katiba...

Mtindio wa ubongo ni ugonjwa mbaya unahitaji matibabu ya haraka sana la sivyo mtu upoteza uhai wake wa akili
 
Kama lisu ni mwamba ajaribu kujibu mapigo ya Nape.aone

Nape naye ni 'ntu' wa kujibiwa? Kwa hoja gani?

Lisu atakwenda kuongea na wananchi wenzake na kuwapa pole kutokana na matusi waliyotukanwa na nape.

Lisu hawezi kujibishana na mtu ''anayetumikishwa'' na wanaume wenzake!
 
Lissu anakaa jimboni muda wote yuko huko.

Tatizo ni kwamba wabunge wao wengi wanaishi dsm wanakwenda majimboni uchaguzi ukikaribia.

Kwahiyo kwao kumuona lisu mwanza na majimboni kwao wanashangaa kwamba anakwenda lini jimboni kwake bila kujua kwamba yeye anaishi jimboni kwake!
 
Kweli fikra za kutumia masaburi ni tatizo,kwa mtu mwenye akili timamu haiwezekani hata kama una malaria imepanda kichwani ukamlinganisha Tundu Lisu na Nape,eti unatuambia amjibu aone,hivi kweli unakili timamu?
yale yale ya Livingstone Lusinde ya kupima akili.
 
Nape hauwezi muziki wa LISSU ,na kwa namna yeyote,huwezi kuwalinganisha.Kuhusu ni muda gani anawatembelea wapiga kura wake yakuhusu nini wewe?kazi ya ngoswe mwachie ngoswe,we isubirie kesho.
 
Hivi huyu jamaa muda gani anawatembelea wapiga kura wake. Sifa zitamuumbua 2015.

Anatumia ipad2 kuwasiliana na wapiga kura wake wote ambao keshawagawia iPad1 zenye programs za Kinyiramba, Kirangi na Kinyaturu. Mwezi huu anamalizia kusimika super computer kwa ajili ya shule zake zote za msingi na sekondari na ameingia mkataba na MOWLEM Construction Company kujenga vyoo na visima katikakilashulejimboni kwake. Hivyo Lissu hana tatizo la kuzubaazubaa jimboni, ana NATIONAL ISSUES!
 
Lisu kiboko yao, tuongoze tusake mabadiliko na uhuru wa kweli kamanda, wananchi tupo nyuma yenu
 
Mie nina wasi wasi wasije waka revoke kibali last minutes .Kesho Mwanza utasikia maneno mazito maana jamaa ana points na hatemi kitu anameza kilivyo hahaha .Natega masikio .
 
Hivi huyu jamaa muda gani anawatembelea wapiga kura wake. Sifa zitamuumbua 2015.

Una hakika hawatembelei wapiga kura wake? Acha kukurupuka ndugu! Kwa taarifa yako, alikuwa na wapiga kura wake kabla ya kwenda mwanza.
 
Mkuu heading ya thread haijakaa vizuri! Nape is just nobody. Lissu hawezi kuwaita wananchi wa Mwz kumjibu nape! Kumjibu huyo dogo ni upuuzi ambao mwenye akili hawezi kufanya. Tuambie anakwenda kuwaeleza mwenendo wa kesi ya kamanda wao waliyempa ubunge maana yeye ni wakili wao! Anamtetea mbunge wao. Sio kumjibu nape ambaye hata anachokisema leo usiku asubuhi anakana hadi jina lake la ukoo! Si tuliona alivyotuandia matokeo ya Igunga hapa usiku na asubuhi akakataa hadi jina lake!? Ni mpuuzi tu na kujibizana nae kwa lolote ni kupoteza muda!
 
Kila sehemu ni elimu ya kutosha,,, hilo ni jembe pekee la CDM lililochini ya viongozi makini kama Dr Slaa, Mbowe na wengne wengi,, Lisu tunakusubili tena sana na hapo ndoo utajua kuwa Mwana na CDM tukoje ,,, magamba walianza na mjinga wao NAPEsisi tutamaliza na majembe yetu yakiongozwa na LISU.
 
Back
Top Bottom