tempo_user1
Senior Member
- Sep 7, 2010
- 134
- 15
viva cdm
sipendi Chadema inavyofupishwa "cdm", inapoteza ladha
viva cdm
Tundu Lisu= Mt kilimanjaro; Nape Nnauye= Kichuguu cha same.Kama lisu ni mwamba ajaribu kujibu mapigo ya Nape.aone
Anatumia ipad2 kuwasiliana na wapiga kura wake wote ambao keshawagawia iPad1 zenye programs za Kinyiramba, Kirangi na Kinyaturu. Mwezi huu anamalizia kusimika super computer kwa ajili ya shule zake zote za msingi na sekondari na ameingia mkataba na MOWLEM Construction Company kujenga vyoo na visima katikakilashulejimboni kwake. Hivyo Lissu hana tatizo la kuzubaazubaa jimboni, ana NATIONAL ISSUES!
Ni kweli..huko nyuma Dr. Slaa aliwahi kutoa angalizo kuwa hilo jina litamkwe kama kifupi kilivyo CHADEMA.sipendi Chadema inavyofupishwa "cdm", inapoteza ladha
Hivi huyu jamaa muda gani anawatembelea wapiga kura wake. Sifa zitamuumbua 2015.