Lissu kama Lema?

Status
Not open for further replies.
hana msaada wowote kwa taifa hili, anadharau muungano ni matusi kwa waasisi wa ta4fa
Humjui Lissu wewe! Hukumbuki mwanasheria mkuu wa serikali alivyokiri bungeni kurekebisha vifungu vya miswada ya sheria akimtumia Lissu?
 
Mkuu nimekimbia kusoma nikidhani wewe uko mahakamani sasa unatuandaa kwa ajili ya kupata apdates kumbe nawe unaomba!
 
anataka sifa ya kuambiwa yy ndio muanzisha thread

Hivi kumbe hii nayo inatumung'unya humu JF? Kwani ukichangia kuna ubaya hadi utake kuonekana kwamba umeanzisha thread wakati kwa ukweli hujaanzisha thread bali head ya thread?
 
TIMING,
Kuvuliwa ubunge kwa mtu hakuwezi kusababisha madhara yoyote kwa nchi kama Tanzania. Ni watu wachache sana hapa nchini wapo interested na the so called wabunge. Ukifanya utafiti wa haraka haraka utaona kuwa, wananchi wengi wakiambiwa kuwa kitu kinachoitwa bunge kisiwepo, majority watakubali as bunge halina impact yoyote kwenye maisha yao.

Vitu vinavyoweza kuprovoke kuvunjika kwa amani ya nchi ni vitu vile vinavyogusa maisha ya watu directly. Kwa mantiki hiyo, TZ haiwezi kuwa kama Siera leon kamwe eti kisa Lema na Lisu wamevuliwa ubunge.

Nashangaa unavyosema kuwa sekondari sikuwa hivyo, sidhani kama kuna anayenifahamu zaidi ya hapa kwenye keyboard. Asante

Endelea kuishi kwa matumaini. Kama unaamini kuwa CCM haitakufa utashangaa siku utakapoona kaburi lake. Pole, siyo wewe tu, wapo wengi wanaoamini hivyo, lakini hakika imani yao yaitaiepusha CCM na kifo.
 
Waache wapoteze muda wao mwingi kuhangaika na wabunge wa CDM mahakamani kutahamaki 2015 hiyo na hawajafanya kitu. Wananchi tutatoa hukumu ya kumuua nyani.

Hivi ikidhihirika huko mbeleni kua moja ya watawala alikua akiingilia uhuru wa mahakama kwa kuamuru mahakama kufanya maamuzi atakayo yeye kutakua hakuna namna ya kumchukulia hatua huyo mtu?naomba kujua ilo tu!
 
I didn't know ..when did Lissu become the MP of Arusha or do you mean the court is shifting and the ruling will be read from Arusha??
Naona unauliza kwa kiingereza! Hujaelewa kwasababu ameandika kwa kiswahili au kwasababu hutaki kuelewa.
 
wewe ni bogus!! si kila kitu chenye direct impact ndo cha kukichukulia uzito tu, kumbuka hapa tunaandaa mazingira mabaya ya democrasia ambayo mwisho yataishia kwenye big impact. WE RAJEO NI MJINGA KAMA AVATA YAKO ILIVYO
 
I didn't know ..when did Lissu become the MP of Arusha or do you mean the court is shifting and the ruling will be read from Arusha??
Mbona mwandishi haajaandika kuwa polisi wamehamia Arusha kama ulivyoonesha hapo kwenye red?! Yaelekea macho yako hayaoni au umependa kumdhalilisha mwandishi
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom