Lissu kama Lema?

Status
Not open for further replies.
Wewe Rejao, ungekuwa unafahamika vema kwa watu walio wengi, tungekufanya MISHIKAKI, Kama ilivyokuwa katika vita vya ukombozi msumbiji. Waulize Wareno walivyoku wanatafunwa na akina Marehemu Samora na wapiganaji wenzake! Ipo siku yatakufika na mzaha wako huo.
 
Hatupo sawa mkuu, kila mtu kuna anachokiamini. From nowher huwezi nilazimisha niipende CDM kisa et na wewe unaipenda.
 
Moto wa mafuta hauzimwi na maji.

CCM wanasambaza moto na kuongeza chuki kwa wananchi
 
ccm na mahakama zenu mtalaaniwa kwani soon hii hali itasababisha umwagaji damu mkubwa
 
TIMING,
Kuvuliwa ubunge kwa mtu hakuwezi kusababisha madhara yoyote kwa nchi kama Tanzania. Ni watu wachache sana hapa nchini wapo interested na the so called wabunge. Ukifanya utafiti wa haraka haraka utaona kuwa, wananchi wengi wakiambiwa kuwa kitu kinachoitwa bunge kisiwepo, majority watakubali as bunge halina impact yoyote kwenye maisha yao.

Vitu vinavyoweza kuprovoke kuvunjika kwa amani ya nchi ni vitu vile vinavyogusa maisha ya watu directly. Kwa mantiki hiyo, TZ haiwezi kuwa kama Siera leon kamwe eti kisa Lema na Lisu wamevuliwa ubunge.

Nashangaa unavyosema kuwa sekondari sikuwa hivyo, sidhani kama kuna anayenifahamu zaidi ya hapa kwenye keyboard. Asante

mKUU usijibu tu majibu ya dharau simply because you suport CCM, ninajua unajua kwamba HATA Trayvon Martin, rodney king, Martin Luther King etc were insignificant and junks a few minutes before thir murders or tortures....

nothing is insignificant in politics especially in a desperate society

Take it from me, Godbless Lema would be very ordinary kama sio kumvua ubunge, and that is my point

Frrapa... a simple term in a small west africa country meant a lot when the insignifcant got significant

OUR TASK IS TO THINK OUTSIDE THE BOX MKUU

This of a housegirl who is always obedient, we belittle her, but when she runs riot, we go insane because of our kids

ANYWAY, IF UBUNGE IS NOT INTERESTING, WHY IS CCM SPENDING BILLIONS ROBBING BACK THE SEATS??
 
TIMING,
Kuvuliwa ubunge kwa mtu hakuwezi kusababisha madhara yoyote kwa nchi kama Tanzania. Ni watu wachache sana hapa nchini wapo interested na the so called wabunge. Ukifanya utafiti wa haraka haraka utaona kuwa, wananchi wengi wakiambiwa kuwa kitu kinachoitwa bunge kisiwepo, majority watakubali as bunge halina impact yoyote kwenye maisha yao.

Vitu vinavyoweza kuprovoke kuvunjika kwa amani ya nchi ni vitu vile vinavyogusa maisha ya watu directly. Kwa mantiki hiyo, TZ haiwezi kuwa kama Siera leon kamwe eti kisa Lema na Lisu wamevuliwa ubunge.

Nashangaa unavyosema kuwa sekondari sikuwa hivyo, sidhani kama kuna anayenifahamu zaidi ya hapa kwenye keyboard. Asante
ni kweli wewe hufahamiki kabisa, mimi niliyesoma ilboru na tabora ndio nafahamika
 
Hahahah..umenifurahisha sana. Am happy kufahamu kuwa upo nje ya TZ.Njia yako ya kutufikishia ujumbe kuwa upo abroad nimeikubali. Ujumbe umefika....

Rejao anasikika kikazi zaidi. Inawezekana leo amepewa shift ya usiku. Kazi zingine!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom