Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,425
Akizungumza kwa Ukakamavu huko Segerea , Mkoani D'Salaam , Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Amedai kwamba. Ni vema Wananchi wakajiepusha na Ukuwadi wa Rasilimali za Nchi , Bali wanapaswa kuhoji ili Kujua kilichomo ndani ya mikataba ya Rasilimali zetu.
Amedai kwamba Watanzania hawana Mali zingine zaidi ya hizi zinazogawiwa kwa wanaoitwa Wawekezaji , hivyo ni lazima mikataba yake ianikwe bila kificho
Toa Maoni yako