findu fiki
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 431
- 67
Home boy.Mimi ni CCM, ila Lissu namvulia kofia, jamaa ni jembe.
Home boy.Mimi ni CCM, ila Lissu namvulia kofia, jamaa ni jembe.
tawire kabisamkuu kweli wewe sio mnafiki na huo ndio ukomavu kisiasa.
Lissu ni sawa na wabunge 150 wa ccm, kiakili, Personality, Kiuchambuzi ...hebu nitajie mbunge yoyote wa ccm anaemkaribia uwezo huyo jamaa
Hata wewe HAMY-D umeanza kuwa jasiri......maana kumpaisha Lissu ni ''kashfa'' kwa Buku Saba Dirty Inc
Amemliza kwa kusema naomba kuwasilisha b kiroboto kamwambia unawasilisha yasiyo ya muswada
duuh hyu mama noma
Mh.Tundu Lissu ni kamanda wa ukweli tuna imani naye na daima tupo nyuma yake!!huyu bibi kiroboto tutamuhukumu kwenye mahakama ya umma na atahukumiwa tu!!ni mnafiki sana haswa anaposimama mtetezi wa wanyonge(CHADEMA)
Unaonaje hako kajina hapo kwenye red carpet, unakazungumziaje mkuu?nimependa sana hako kajina kanamfaa,tumnikname hako.
Na wote tuseme aminaa!Nawalaani spika na makamu wake kwa 'upuuzi' wanaofanya!
.......Lisu kukitaja Chama Cha Mapinduzi kwa mabaya yake ni haramu, ila ni ruksa kwa Magufuri kutamba na kuitaja CCM kwamba inatimiza ilani yake!! bure la kipuuzi kabisa hili.
Mimi ni CCM, ila Lissu namvulia kofia, jamaa ni jembe.