Lissu akiondoka na siasa za upinzani zinapoa, hii inaashiria nini kuhusu afya ya upinzani nchini?

Mzalendo Uchwara

JF-Expert Member
Jan 26, 2020
3,721
11,717
Wananzengo, siasa za upinzani nchini huwa zinaendeshwa na matukio zaidi, lakini kwa sasa hali ni mbaya zaidi. Ni kama vile upinzani wote uko mikononi mwa Tundu Lissu.

Mh. Lissu amechukua likizo kidogo basi kila kitu kimepoa, operations za CDM kimyaa, na hata mikutano ya hadhara na ile ya ndani inayofanywa na wengine ni kama haina mvuto.

Vile vyama vingine ndio kama vimeshakufa kabisa, wao hata siasa za matukio zimewashinda.

Kwa hali hii ya siasa za upinzani kuwa mikononi mwa Lissu peke yake na upinzani wote kungojea huruma za Samia na miujiza hiyo 2025 watafika kweli? CCM inaweza kuishia kujizolea ushindi wa kishindo kabisa.
 
Wananzengo, siasa za Upinzani nchini huwa zinaendeshwa na matukio zaidi. Lakini kwa sasa hali ni mbaya zaidi. Ni kama vile upinzani wote uko mikononi mwa Tundu Lissu.

Kwa hali hii ya siasa za upinzani kuwa mikononi mwa Lissu peke yake na upinzani wote kungojea huruma za SSH na miujiza hiyo 2025 watafika kweli? CCM inaweza kuishia kujizolea ushindi wa kishindo kabisa.
Havipo, ukweli Lissu ana mvuto sn kwenye siasa sababu anafundisha na kuelimisha, Mbowe naye ni wa moto haswa akianza huwa watu wana jamba, jamaa huwa wanasoma kwaza gaps za govu ndiyo wanatoka kwenye mikutano
 
Lisu mwenyewe amejiroga mwenyewe kwa kumsemea vibaya kipenzi cha watanzania walio wengi na kikwazo cha mafisadi si mwingine bali JPM-Magufuli!!
 
Kachukue buku 7 lumumba
 
Lisu mwenyewe amejiroga mwenyewe kwa kumsemea vibaya kipenzi cha watanzania walio wengi na kikwazo cha mafisadi si mwingine bali JPM-Magufuli!!
Pale alikosea step, nadhani washauri wake watakuwa walimshauri. Wafuasi wa JPM ni kura za kutosha kubadilisha upepo wa siasa nchini.
 
Wananzengo, siasa za Upinzani nchini huwa zinaendeshwa na matukio zaidi. Lakini kwa sasa hali ni mbaya zaidi. Ni kama vile upinzani wote uko mikononi mwa Tundu Lissu.

Mh. Lissu amechukua likizo kidogo basi kila kitu kimepoa, operations za CDM kimyaa, na hata mikutano ya hadhara na ile ya ndani inayofanywa na wengine ni kama haina mvuto.

Vile vyama vingine ndio kama vimeshakufa kabisa, wao hata siasa za matukio zimewashinda.

Kwa hali hii ya siasa za upinzani kuwa mikononi mwa Lissu peke yake na upinzani wote kungojea huruma za SSH na miujiza hiyo 2025 watafika kweli? CCM inaweza kuishia kujizolea ushindi wa kishindo kabisa.
Tuna taratibu zetu kama ni kazi hizi maalum ni wote tunaingia kazini na kama ni likizo wote tunaenda kupumzika
Tukiliamsha tunaliamsha wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka sasa CDM imepoa kama maji mtungini. Kuna miswada ya sheria ya uchaguzi imepelekwa bungeni, lakini hakuna mjadala wa maana kutoka vyama vya upinzani. Wote wanangoja Lissu arudi.
 
Wananzengo, siasa za upinzani nchini huwa zinaendeshwa na matukio zaidi, lakini kwa sasa hali ni mbaya zaidi. Ni kama vile upinzani wote uko mikononi mwa Tundu Lissu.

Mh. Lissu amechukua likizo kidogo basi kila kitu kimepoa, operations za CDM kimyaa, na hata mikutano ya hadhara na ile ya ndani inayofanywa na wengine ni kama haina mvuto.

Vile vyama vingine ndio kama vimeshakufa kabisa, wao hata siasa za matukio zimewashinda.

Kwa hali hii ya siasa za upinzani kuwa mikononi mwa Lissu peke yake na upinzani wote kungojea huruma za Samia na miujiza hiyo 2025 watafika kweli? CCM inaweza kuishia kujizolea ushindi wa kishindo kabisa.
Umetumwa na tundulissu? Nani kakwambia pamepoa au una maana matusi yamepungua? Kaenda likizo? Alikuaga? Ana kazi gani hadi "apewe" likizo? Nchi hutulia tindulissu a apokauka mdomo wa matusi ni kejeli.
 
Kuwa mkweli, Tundu akiwepo vyama vya upinzani huwa vinakuwa kimya namna hii??
 
Havipo, ukweli Lissu ana mvuto sn kwenye siasa sababu anafundisha na kuelimisha, Mbowe naye ni wa moto haswa akianza huwa watu wana jamba, jamaa huwa wanasoma kwaza gaps za govu ndiyo wanatoka kwenye mikutano
Hapo kwa Mbowe unajidanganya jamaa ana force fani.
 
Wananzengo, siasa za upinzani nchini huwa zinaendeshwa na matukio zaidi, lakini kwa sasa hali ni mbaya zaidi. Ni kama vile upinzani wote uko mikononi mwa Tundu Lissu.

Mh. Lissu amechukua likizo kidogo basi kila kitu kimepoa, operations za CDM kimyaa, na hata mikutano ya hadhara na ile ya ndani inayofanywa na wengine ni kama haina mvuto.

Vile vyama vingine ndio kama vimeshakufa kabisa, wao hata siasa za matukio zimewashinda.

Kwa hali hii ya siasa za upinzani kuwa mikononi mwa Lissu peke yake na upinzani wote kungojea huruma za Samia na miujiza hiyo 2025 watafika kweli? CCM inaweza kuishia kujizolea ushindi wa kishindo kabisa.
Walijipa 2020 nini kimebadilika!?,tatizo la Tanzania ni watz wenyewe,tena tunakoelekea hao wapinzani wangefanya mambo yao binafsi kuliko kuwaamsha watz,mambo yatabadilika tukikitambua,"usiku utakapokwisha".
 
Back
Top Bottom